Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Lady Jaydee na mume wake GADNA G. akaamua kumfanyia suprise party ambapo akaalika wadau tofautitofauti na watu wa karibu wa jaydee bila yeye mwenyewe kujua..
Na furaha zote akiwa na mdogo wakeThis Blog is all about Social and Entertainment issues... Karibu kwenye Dunia yangu!!! kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Lady Jaydee na mume wake GADNA G. akaamua kumfanyia suprise party ambapo akaalika wadau tofautitofauti na watu wa karibu wa jaydee bila yeye mwenyewe kujua..
Na furaha zote akiwa na mdogo wake
3 comments:
Siimpi my vote.......labda viti maalamu...lol
Zamaradi bby hapo umenifurahisha kuweka picha za bday ya komandoooo.... blog yako inakuwa kimya mno na tunakuona kwenye matukio mengi tu huwa huchukui camera yako?Bwana kuwa active na sharp!
mambo zamaradi.nakukubali sana ila punguza kuringa unatuboa mashabiki wako.halafu kila kitu ww unajua umekuwa malaika ?punguza dada.ukiacha hayo nakukubali sana
Post a Comment