Monday, November 12, 2012

STAY TUNED... BACK sooon...

Its been a year now since my last post on this blog.... nimepata comments nyingi sana watu wakinisema kuhusiana na ukimya wangu tena wengi wakinichamba hasa.. sitaki kutoa sababu yoyote on why nilikuwa kimya kwa muda wote huo sababu mwisho wa siku haitasaidia chochote kile..

kikubwa nawapenda woooote sana sana mliotuma comments mbaya na nzuri sababu mmeniamsha na kunifanya nione how this blog of mine ina mafans... am happy'

Muda si mrefu nitarudi rasmi kabisa kwa nguvu ileile ili tuweze kwenda sawa.... got so many things for you guys so just stay tuned sweethearts'

 Ntaanza tu kuwawekea vipindi ambavyo hii ni maombi ya baadhi ya watu ambao wako nje na hawakufanikiwa kuviona lakini kwa updates ya vitu tofauti vinavyoendelea soooooon tutakwenda sawa..

NAWAPENDA WOOOOOOTE SANA SANA!!!!!!

6 comments:

Anonymous said...

Twakusubiri....
by the way, ulikuwa kimya sana...tena sana..

Anonymous said...

itakuwa vzr kwakweli ukituwekea vipindi vya takeone..mana ulikuwa umetuacha njia panda

me said...

Jamani zama pole sana nimesikia umefiwa daaa..

Anonymous said...

pole na msiba mupenzi,,,,nakuombea urudi mwaya ukiwa na nguvu mpya .

R.Ngaiza said...

Karibu tena Zama, nilikumiss hongera kwa kupata mwana na pole kwa kumpoteza mama yako. Luv u

Anonymous said...

zama how soon???????????!!!!!!!!!!