Thursday, August 11, 2011

WEMA SEPETU v/s IRENE UWOYA.. NANI ZAIDI!!!!??????

Kwa maoni yako kati ya IRENE UWOYA pamoja na WEMA SEPETU nani mkali kiuigizaji!!??? na kwanini?? wote ni wasichana warembo na waigizaji wakubwa hapa Tanzania, kwa upande wa Irene tayari ameshacheza filamu kama Diversion of Love ambayo ndio ya kwanza, kisha Oprah ambayo ndio ilimtoa kabisa baada ya hapo akfanya nyingi nyingine kama my dreams,pretty girl, senior bachelor ambayo ni ya mwaka huu na nyinginezo nyingi...
Kwa upande wa WEMA, a point of no return ndio ilimtambulisha, kisha Family tears, baada ya hapo akafanya nyingi kama,red valentine, lerato, basilisa na nyinginezo nyingi sana
KWA UPANDE WAKO WEWE UNAESOMA HAPA na kwa maoni yako, KATI YA IRENE UWOYA na WEMA SEPETU..


NANI MKALI!!!??????

99 comments:

Anonymous said...

Wema Sepetu mkali sanaaaaaaaaa

James said...

Wema Sepetu yupo juuuuuuuuuuuu

Amy said...

Irene ndo mambo yote aisee.Kila nafac anaweza kuikabili vizuri.Wema kwa mfano akipewa nafac ya ku act mkatili au mama wa kambo sidhan kama panaweza kuwa na uhalisia maana kuanzia saut yake haijaa kikatili.

Anonymous said...

Wema yupo juu huyo Irene na mapozi sana ya Umiss.

emu-three said...

Mimi kwangu wote wapo juu, kila mtu kwa nafasi yake!

Son of Noreen said...

Nishakwambia Irene ni zaidi

Anonymous said...

irene zaidi anaweza kuhandle pande zote mahaba, ukatili, ujambazi. uwoya mkali

Anonymous said...

wote wa kawaida tu wala sioni uzuri wao

Anonymous said...

hakuna mkali

Anonymous said...

wewe ndo mkali bwana

Anonymous said...

Irene ni mkali coz anavaa uhalisia

Anonymous said...

Irene zaidi

Anonymous said...

Irene yupo juu wacha maneno hapo. yaani anacover angle zote

baby candy said...

irene uwoya yuko juu...anajua kuvaa uhusika vizuri

Anonymous said...

Hiyo picha ya Irene sijaipenda kwa kuwa naona amejidhalilisha kwa kupiga picha katika pozi ya kufirama na kuonyesha mwanya wa makalio yake unapoanza. Jamani hata kama ni huo uzungu tujiwekee mipaka. Kwani huyo Irene hana ndugu au jamaa ambao wanaweza kuona picha hiyo pozi ya mtu anayetoa "tigo"?

Anonymous said...

Yani mm kama mm kwaupande wangu nadhani Irene yuko juu zaidi. Mana anaweza kucheza nafac yoyote ile kama mdau alivyosema hapo juu. Coz Sauti ya wema hawezi cheza nafasi nyine. Irene zaidi ya wema.

Anonymous said...

Hivi Zama unaweza fananisha "chips dume" na "chips mayai"
Irene yuko juu Zamaaaa!!! tuache utani hapa kwenye hilo.

Anonymous said...

irene yuko juu na ametulia kiakili zaidii.

Anonymous said...

hamna woote ovyo tu...MONALISA ndio mkali

Anonymous said...

Amy..mtu anaweza akawa na sauti ya upole na still akawa mkatili kuliko Idd Amin..Wema mkaree

Anonymous said...

wema mwanzo mwisho

Anonymous said...

mkali wewe Zanaradi. teh teh teh

Anonymous said...

wema bwana mkali sana

Anonymous said...

Mimi naona wote hawa wamechemsha katika fani ya uigizaji wa sinema. Ma-actors wa nchi zozote duniani wanasomea acting. Hapa TZ ni 'sukuma twende' tu...mradi ujuane na watu fulani basi eti unakuwa actor. Ndiyo maana sinema za Kenya, Nigeria, Kihindi na za kiarabuni zina mvuto zaidi...actors wao wamesomea acting au theatre arts. Sijui kwa nini hapa TZ hatuwatumii wahitimu wa theatre arts wa UDSM au hata wa chuo cha sanaa cha Bagamoyo.

Hawa said...

Jamani wadau wenginetuache utani na matuc pliz!! Mie namkubali Irene Uwoya!

Anonymous said...

Irine mkali sana, nashauli wema umshindanishe na Rose Ndauka au Jack Pentezel. Kwa upande wa Irine umshindanishe na Rihama Ally au Aunty Ezekiel. Wema hana ubavu wa kumvaa Irine.

Anonymous said...

wema mkalii

Anonymous said...

Hakuna mkali hapo,waende skuli kwanza,wanauza sura2

Anonymous said...

wema mkali kwenye ngono, irene kwenye uvaaji wa chachandu

Anonymous said...

Iren yuko juu

Anonymous said...

irene mkali

Anonymous said...

Wema anauhalisihia anafit kwa kila secta mnyonge tumnyoge bali haki yake tumpe

Anonymous said...

wema yuko juu mwaya xema wa2 watamponda coz yy kazd maskendo meng ya ajab! saut co kigezo cha yy kutomanage sehem zngne! irene labda mkali wa kutoa mimacho 2 na ku2mia miguvu akiwa anact! WEMA MKAREEEEEEEEEEEEEEE!

Anonymous said...

irene mkali

Anonymous said...

Wema yupo juuuuuu

ray said...

mtoto wa sepetu yuko juu

Anonymous said...

Wema bwana Zamaradi

Anonymous said...

Zama mrembo mkali irine bwana mama diamond haoni ndani

Anonymous said...

wema anajitaidi though irene nae anafnya vzr but kuna nafac nyngn zinamshinda,nafasi za umlaya ndo anazipatia sn sa cjui anakua anatumia na personal experience au vp,so kwa kifupi wako more o less da sme. Ni hyo tu

Anonymous said...

IRINE MKALI HILO HALINA UBISHI, ANAWEZA KUACT CHOCHOTE,KWANZA MWENYEWE TU ANAUZA. WEMA KUACT ANAJARIBU TENA AMSHUKURU KANUMBA, YEYE ANAJUA KITU KIMOJA TU, "KUAIBISHA WANAWAKE WENZIE"

Anonymous said...

Irene Uwoya anatisha zaidi.Yupo juu.

Anonymous said...

Irine ndo mkali, mama Diamond anauza sura hadi sauti anaigiza sikapendi kale kasauti kake kwani akiongea kawaida atachubuka ngozi ngozi.....

Anonymous said...

Wema Sepetu mkali zama!! (matendo yake ni yake ni maisha yake binafsi hayatuhusu)

Anonymous said...

ETI NINI? MATENDO HAYATUHUSU? ANAWAHARIBIA WENZIE HUYO WEMA, HIVI KWELI ANAVYO BADILI WANAUME ANAKUMBUKAGA HATA KUTUMIA (CD)? AU NDO NYAMA KWA NYAMA. IRINE UKO JUU HILO HALINA UBISHI. HALAFU HII NI COMPLIMENT "YOU ARE BEAUTIFUL" HUNA CHAI JABA KAMA LA FULANI

kamwe said...

tatizo wadau mnafuatilia sana filamu za wauza sura tu.hebu itafuteni filamu ya LERATo alafu ndio mtajua ukali wa wema.wEMA SEPETU yuko juu jamani.

goodluck issa said...

plz zama usirudie tena kumfananisha wema na hawo watu wako bana honest unamkosea heshima,naomb umtake radhi!WEMA HANA MPINZANI dada eeh.!vp kuhusu majibu ya script maanake mpaka tumesahau!!

Anonymous said...

wema mkali anauvaa uhalisia wa kuact na hata wa mavazi akiwa anaact.

ruda g said...

wema anatisha

cholo baby said...

wema yuko juu saaaaana.mtaamin mzigo ukiwa madukani wajameniukani wajameni

Anonymous said...

Wote wawili wababaishaji tu. Jibu: Hamna kali hapo.

Anonymous said...

Irene Uwoya

Anonymous said...

sijaona.hakuna hatammoja.mdau hapo juu uliesema monalisa yuko juu,i support you 100%.kwa waigizaji wa wa kike monalisa yuko juu.

Anonymous said...

wote mabomu tu. ni kuwa hapa tz hakuna waigizaji. waigizaji wazuri hawapewi fursa ya ku-act. 'in the land of the blind, a one-eyed man is a king'.

Anonymous said...

iren mkali

Anonymous said...

iren mkali jamani acheni ubishi

Anonymous said...

hatuitaji muigizaji mwenye sauti km ya mtoto wema si chochote mbele ya irene

Anonymous said...

ni mama krish tu

Anonymous said...

MRS HAMADI YUKO JUU

Anonymous said...

IRENE YUKO JUUUUUUUUUUUUUUUU

Anonymous said...

IRENE HANA MAJOTOOOOOOOOOOOOOOO

Anonymous said...

UTAMFANANISHA KICHECHE WEMA NA IRENE WAPIIIIIIIIIIII IRENE YUKO JUUUU

Anonymous said...

WEMA MKALI WA WANAUME SIO MKALI WA MOVIES

Anonymous said...

irene makali tena sana hata wema amwageradhi hamfikii kamwe

usokazi said...

wewe,wewe chezea uwoya wewe huta rowa!! uwoya kiboko yao akuna kama uwoya hapa tz tusidanganyane uwoya hana fit kila sehem. uwoya ni wakimataifa.

Anonymous said...

Irene yuko juu filamu zote anazocheza zinakuwa nzuri ukali upole kama filamu ya pretty girl mama krish juuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

wema is the best...si kwa irene tu bali kwa waigizaji wote wa kike

Anonymous said...

irene yupo juu.wema sauti yake imekaa kiunyonge unyonge,irene anaweza kuigiza sehemu tofauti tofauti.na ile filamu yao ya the diary bado haijatoka?

Anonymous said...

irine juuuuuuu wema chiniiiiiiiii

Princess Vanessa said...

irene ndo mkali........

Anonymous said...

tafuta vitu vingine vya kutuwekea tafadhali LIBLOG linaboa

Anonymous said...

Nakubaliana na wote mnaosema kuwa kati ya Irene na Wema hamna mkali kwa kuwa wote si actors. Kwanza waende shule ya acting kabla hawajapambanishwa. Full stop.

Anonymous said...

Pamoja na maskendo, wema is the best...irene nae yumo japo wema zaidi

prisca p said...

Mie hapa naona Irene yuko juu zaidi filamu zake zote nzuri anaweza kucheza kotekote upole, ukali, hata ujambazi, yeye anafiti,big up irene

prisca p said...

Mimi naona irene yuko juu katika filamu kwa sababu filamu zote anazocheza anakubalika yaani kwenye upole yumo kwenye ukali yupo big up irene

Anonymous said...

wote wakali kwa ku2mika kingono

Anonymous said...

uwoya mkali wala hapaswi kushindanishwa na wema mnamshushia hadhi kabisa nikama tysonn matumla useme nani zaidi

Anonymous said...

weweeeee acha majotrooooooooo iren yuko juuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

tutataka majibu humu humu tuone kwani kunawatu wabishi kama deshi deshi iren mrs ndikumana mama krish hana mpizani mulize dinamarios atakujuzaaa

Anonymous said...

KUSEMA KWELI IREN FUNIKO WEMA HAFUI DAFU KWENTE KIAPO KAJITAHIDI SANA SO BIG UP MA SISTER......KEEP IT UP
abbas mlilapi wa kino

Anonymous said...

irene na wema wote ni wakaree mura oira irene ni mkari zaidi

phopi said...

wema ni mkali zaid, nayo mengine ni maisha yake binafsi tusiyaingilie wala kumjaji

Anonymous said...

Zama,mi naona hao warembo kila mmoja ana ukali wake katika kile anachokifanya,kujua nani mkali nani hovyo hapo tutakesha na kuongopeana jamani.All of them are sweet.

kivespar said...

IREN

Anonymous said...

irene

Anonymous said...

Hamna mkali hapa, wote wawili totally useless.

Anonymous said...

Namkubali Irene ni mkali, anaweza kila sehemu atakayopewa

Anonymous said...

Anon wa 10:48 AM, nakubaliana na wewe, wote hawa wawili ni totally useless katika fani ya sinema.

Anonymous said...

WEMAAAAAAAAAAA.... Wema mkalii sana sema hajatulia angeconcentrate angefika mbali sanaaa

Anonymous said...

We iren unamwosha nani hayo matako yako manene yaliyoja cellulites? Ho ho ho lol

Anonymous said...

Wote hawa wawili ni bogus. Wema mkali katika kubadili mabwana na irene mkali katika kuonyesha matako yake na mapaja yake yaliyojaa cellulites kama alivyosema anon wa 6:15 PM. Sorry girls lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Anonymous said...

tujaji vip? yanii kama kakingereza au kukaa pasipo maadili labda. vyote pamoja yanii yanii labda wema. anaweza shinda kwenye kati ya hizo mbil kwani anaingia kwenye zote. yumo yumo lakini kwa picha pasipo maadili uwoya yupo. huo ni mtazamo wangu, kwani picha zetu zimebaki hapo ili pendwe ivunje maadili watu wawe wanakaa ka kinageria au kizungu mbali nautamaduni wetu. elias

Anonymous said...

wema mkali sana - tumetakiwa kutoa maoni yetu na mkali kati ya hao mabint kifilamu lakini tatizo watz baadhi yetu kazi kutafuta kasoro za watu zao kimyaaaa.

Kama tungefunuliwa maovu yetu ki ukweli sidhani kama kuna mwenye ubavu wa kumnyooshea kidole wema

Hebu BOLITI zilizo kwenye macho yenu ndo mtoe kibanzi kilicho kwa Wema

adely said...

yan hlo halina ubishi irene is da best na ha2takiwi kuangalia tabia ya m2 coz hujaulizwa n all are non of ur business 4 dos mlioshikiria kuzungumzia tabia zao!kuweni waelewa bana!!

Anonymous said...

Irene ni mfuniko ile mbayaaaaaa!!!
kwanza ana mvuto, pili yupo real, tatu ana ndoa,nne hakupigwa ubomba wa mimba kabla ya ndoa, tano anajiamini, sita anafit kila idara katika uhusika. Mi sioni wa kumfunika afrika ya kati na mashariki.

Anonymous said...

Kwa kweli kwangu mimi niliyempenda zaidi kwenye uigizaji ni yule dada aliyeigiza kama "Regina" huyu ndiye mkali.
she is talented go and watch Regina film

john1260 said...

Naitwa john kitus Also known as shaun ,nimeishi tanzania kama 12yrs na nikaenda US
lakini bado sija hacha kuzitazama igizo ao filamu za kitanzania sababu zanivutia na za funza,kwanza ningesema hawana hela nyingi sababu wazichezea tanzania na ni ktk lugha ya kiswahili kama ingekuwa ni ktk lugha ya kingereza ingekuwa hecka cool .
Kati yao hao wawili naweza sema Wema Sepetu anayomiaka mingi ktk uingizaji wa filamu na Irene Bbado mchanga ao si mchanga lakini bado anamiaka kazha.sasa kt yao ni nani ambaye tayari ameisha handika filamu yake na kusirikisha wengine?
pia,ktk filamu ya Hot sunday,naweza sema dada alipatia nafasi zake kweli na naweza kuongelea wema kuhusu red valentine alipokuwa akiongea na Briton pamoja na kijakazi wao.
pia kati yao ni nani anazungumza kingereza ao kifaransa zaidi ya mwenzake?
kwa ufupi,ni seme wote wakali lakini bado tumpe wema nafasi japokuwa sijahona filamu zake nyingi tena ila nina uhakika kuwa baadaye tutaona vipi atakavyo kuja Da Irene kwa kuwa ni mkali pia bila kumsahahu johari.naishi state ya south Dakota,Sioux falls kama city.

Anonymous said...

Irene uwoya zaidi bwana msimlinganisha na wema,wema kazi yake kugombea mabwana tena wadogo zake kama akina diamond,kila siku mapenzi mapenzi.

gabriel fredrick said...

wema sepetu she iz so hot wow kiukweli ni mzuri

Anonymous said...

Nawapenda wote ktk kuigiza ila zaidi ni IRENE UWOYA