PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
13 comments:
MashaALLAH mnapendeza sana mnavyovaa STARA.
Isiishie mwezi huu bali muendelee hivyo hivyo miezi yote.
Naamini mnaweza. MNAPENDEZA KATIKA VAZI LA HESHIMA
Kumbe na ww Zama ukivaa nguo za heshima unapendeza kwa nini unapenda kuvaa sana suruali mmh mtoto wa kiislamu sharti ujistiri bidada sio Ramadahni mpk Ramadhani ndio unakumbuka wapi baibui ulipoliweka na fashion ya baibui inakuwa imeshapita.
zama 2wekee mabo bana,achana na habar za mipicha,ulianza vizuri sasa unaanza ku2boa,change plz -lucy
Mi sikufagilii kwa hii tabia yako ya kupost picha zako au umnamaana hii ni album yako ya picha na si blog ya kupashana habari na wadau wako. Naamini unao uwezo mkubwa wa kuchambua mada mbalimbali lakini sijui kwanini hufanyi hivyo bali unatuwekea picha zako zinakaa zaidi ya wiki mibili. Please be creative!
Kha!! yaani sikuelewi nini unalenga ka vip tukutumie picha za misura yetu hii mibaya uweke watu waone kam kunavinyago wenzako ila tu hatuna ma blog na sio kila mmoja wetu atakayeweza kuwa na blog. Fanya mambo bac mi nishabiki wako mkubwa ila kwahilo umenfyonkoa.

zama kila vazi unapendeza sana umejaliwa kweli wenye wivu wajinyonge, Ramadhani kareem....
UMEPEE ZAMA
waiiiiiiiiiiiiiiiii
mvae miezi yote siyo ramadhani tu,mwanamke wa kiislamu sharti ujisitiri
UNABAOA NA PICHA PICHA ZAKO BWANA KAMA UMEISHIWA C USEME TUJUE KUWA HII NI ALBUM NA C BLOG. ACHA HIZO. BLOG ZINGINE HATA HOSTER HATUWAJUI ILA HII YAKO KA KIOO CHAKO CHA KUJIANGALIA VILE HUWEZI KU UOT BILA KUJICHEK. NFYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Masha'Allah!Zamaradi upo bomba wang,vile vi-skin huwa mnavaa tu lkn umo ndo mwake mwake bidada,na ushauri wa mchanganyiko wa habari ndo chachu ya hii blog otherwise una malengo mengine,.ramadhani kareem!
Zama unapendeza mno bwana...utatufanya tuharibu swaumu...
Ni matumaini yangu unaendelea vizuri.Hii ni mara ya kwanza kujitokeza hapa baada ya kukerwa na comment yako juu ya nyimbo hakunaga.kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya mpaka sasa.
kwa kweli nyimbo ya hakunaga umeifagilia sana kwamba kila kitu kimepangika hata vina na mistari imetulia.Kwa kweli kwenye kipengele hiko nashangaa kwa sababu wewe ni mkosoaji mkubwa pale wasanii wa filamu wanaporonga kwenye kiingereza lakini leo hii msanii kaboronga kwenye kiswahili wewe ndio kwanza unampa tano,au ndio tuseme dada kiswahili sio fani yako unaongea tu au kipengele cha muziki hakikukhusu?Hata kama ni hivyo haukupaswa wewe kuifagilia hiyo nyimbo yenye makosa kibao kwenye kiswahili waziwazi hata kama unaipenda kwa sababu tunajua nyimbo ni zaidi ya lugha.Je angeboronga hivyo kwenye kiingereza ingekuwa sawa?
Post a Comment