Monday, March 8, 2010

GUESS WHO!!???

Mara nyingi tumezoea kuona style za nywele kwa wakina dada lakini hata wakaka sikuhizi wana style zao za nywele mojawapo ikiwa ni hiyo unayoiona hapo juu, jaribu kuhisi HUYO NI NANI na ukipatia kuna zawadi kwa ajili yako, na hiki kitakuwa ni kitu cha kuendelea kwa kila wiki ambapo nitaweka picha mbalimbali za watu ambazo si rahisi kuzitambua kisha wewe ujaribu kutambua na kuniambia ni nani.. !!!
Haya kwa kuanza niambie HUYO NI NANI??

30 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hodiiii, nimepita kusalimia lakini nimekuta haupo. ntakuwa mgeni wako siku nyingine. karibu kwangu pia.

Yusuph said...

Zamaradi huyo ni B-12.Im 100% sure.
Yusuph

Anonymous said...

Ben Kinyainya.

Markus Mpangala said...

ni DJ CHOKA

Anonymous said...

Huyo ni Dr. chen, vero wa mwanza

Sarah Said said...

Huyo ni Muly B mtangazaji w kipindi cha XXL Clouds FM

Anonymous said...

Huyo ni B12

disminder.

torres said...

ni b12

david said...

huyo twangala

godfrey said...

huyu ni B-12 4RIL

Anonymous said...

huyo lazima atakuwa joseph shaluwa

bryton said...

yani huyo bila utata ni BDozen,BTwizzi,BTwangala,BKumi na Be'e yani B Watever man a.k.a Da King Of Afternoon Shows Zamaradi Unabishaaaaaaa.....?

Anonymous said...

huyo ni b12 nilimuona kabisa kwenye xxl bush

mwana

Anonymous said...

huyo ni b12 nilimuona kabisa kwenye xxl bush

mwana

Joseph said...

huyo ni Babuu wa Kitaa.mzuka

Joseph said...

huyo ni Babuu wa Kitaa.mzuka

Anonymous said...

B12 lol!!!!!!!!

Anonymous said...

huyo ni wa shadee!......b12!

Anonymous said...

thatha nani kashinda

Anonymous said...

hilooooo..wala sio wa shadee huyu ni b12 .mkali na mjanja sana na hawezi kuwa na demu mbovu kama huyo oo.....ahahahaaa jamaa levo za mademu anaofanana nao ni za akina kelly hilson... na wenye hela zao piaaaaaaaa .

Sab said...

Vicent Kigosi aka ray

Anonymous said...

ray

essy said...

huyo ni ray,ester b

Mzee wa Changamoto said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

huyu ni Marlow.

Anonymous said...

Huyo ni Twangala..ukipenda B kumi nabeee..!

Anonymous said...

huyo ni Twangala ukipenda B kumi na beeee....

mgharry15 said...

chid benz

Anonymous said...

hamis mandi a.k.a b12,btwiz b multiple.

yuster said...

huyo ni steven kanumba