Wednesday, March 24, 2010

I LOVE MY TATTOOS - UWOYA

Moja kati ya vitu anavyovipenda Irene Uwoya katika mwili wake ni tattoo zilizochorwa kwenye maziwa kifuani mwake ambazo zina alama ya nyayo za kitu kama paka ama chui.


Hapa zikiwa zinaonekana kwa karibu zaidi.


Kila mtu ana kitu anachokipenda katika mwili wake, je wewe unapenda nini kwenye mwili wako??


10 comments:

Sab said...

Kama kuna watu wananivutia kwa upande wa waigizaji wanawake wa kwanza ni Irine na kwa wanaume ni Kanumba wanavaa uhalisia mi ningependa kuona movie tena ya Irine na Kanumba kwa kweli.Kila la kheri.

Anonymous said...

She's hotttt na anasimama kama yeye huwezi jua ana act.
halafu Zamm mchokozi eti nasi tunapenda nini katika miili yetu, wengine tuvipendavyo havisemeki hapo. hahahahahahahah

Asante dada.disminder.

Anonymous said...

zama nunua jeans nyingine na viatu pls.vile vya kijan sijui sea colour viatu vipumzike.na jeans ya bahama

Anonymous said...

Akirudia inakukera nini, tuonyeshe zako usizorudia rudiaa

Anonymous said...

Huyu irene tuambieni kama kaachika,kila siku yupo bongo mi nampenda siku nyingi lakini naheshimu ndoa kama kaachika nimtokee.

Anonymous said...

mmmn kifua chenyewe flati angekuwa na mdodo angeuweka wazi nimjuavyo huyu, haya kifua chatembelewa na chui

Anonymous said...

umesha fika wakit na sis tuwe wabunifu..
kwan hizo tatoo ni kama zile za EVE..
sasa dada Irine unaiga mwanzo mwishooooooooo.???????
sio mzuka hata kiduchu.
Kinachotakiwa kajipange upya.,,ndio uje tena.

O'bryann said...

i like this part real we have to feel free talking on what we like on our body, life and all...by my self i like ''MY HEAD''

Anonymous said...

uwoya katokea... hasa na hiyo cheni mguuni kushoto! mtoto mashalaah walahi...

Anonymous said...

mmmmh,kwakweli m not hating lakini hizo tattoo siyo mzuka maana umeiga za eve... ungechora sehemu ya kiunoni irene ungependeza saana maana umebarikiwa sector hiyo... keep up the good work in the film industry mami.