Thursday, March 11, 2010

UWOYA NDANI YA BONGO

Kwasasa yuko ndani ya Bongo akiendelea na swala zima la kufanya filamu na SI kwamba ndoa yake iko matatizoni kama watu wanavyosema.

Hapa niliwakuta Double tree akiwa na upcoming artist katika movie industry ya Bongo Shamsa Ford.

2 comments:

janeth said...

zama si unajua watu hawakosagi la kunena,awe kwa mumewe asiwe kwa mumewe haihusu kabisa.kila la kheri I,kaza buti hii ndio bongo land yetu,usitegemee kusifiwa tu.
janeth-dar.

Anonymous said...

Irene, kula mzigo na waonyeshe kwamba wewe unaweza, mpende mumeo zaidi.

keep it up girl.disminder.