Tuesday, March 23, 2010

NI MCHEKESHAJI GANI ANAKUVUTIA KWA HAPA BONGO?

Kuna wachekeshaji wengi sana hapa Tanzania na wanafanya kazi nzuri sana ingawa ni wachache wanaotambulika zaidi. wapo wakongwe na wanaochipukia, na kwasasa ushindani umekuwa mkubwa kidogo baina yao..
Ukiwa kama mmoja kati ya watazamaji wa kawaida ni MCHEKESHAJI GANI ambae huwa anakuvunja mbavu zaidi hapa TANZANIA na kwanini??

4 comments:

Anonymous said...

JB nampenda sana, Hasa akiwa anashangaa kitu au jambo furani Anashangaa kiasi kwamba hata wewe unaeangalia unaanza kushangaa!! huyu kijana safi sana anauvaa uhusika hasa!! Nampongeza. Kizito

Anonymous said...

Kiwewe

julie said...

joti ndio mchekeshaji anayenivutia coz ukimwangalia tu tayari unacheka..... hah hah ha

Anonymous said...

Masanja wa ze comedi, the guy is purely the comedian, nadhani kama ni talanta basi amepewa. Yaaani akisoma habari yeye ni burudani kweli kweli