Friday, February 25, 2011

ITS NOT ONLY ABOUT BEAUTY.. ITS BRAIN & BEAUTY or BEAUTY WITH PURPOSE" - Sporah Njau

SPORAH NJAU, is an award-winning the best TV Presenter of the year 2010.

In the city of London here comes a young vibrant lady full of life and enthusiasm always ready to go above her abilities to deliver the best. Miss Sporah Njau believes you can do it. Her positive spirit led her to an unending array helping young people in the community to speak out in different issues.

Miss Njau is a hardworking lady who believes in education more than anything else, with a heart of her career as a TV presenter/producer. Miss Njau came from a humble background to become one of the African most influential lady in United Kingdom. She has amassed a great fortune through her media interests and uses her TV Show to positively influence of the young generation.
Sporah Njau, who has a background in business and higher education, has lived in United Kingdom for seven years. She has a High National Diploma in TV Presenting, BTEC in Business and Finance and HND in Accounting and Business Management.
Business was her foundation; her 1st business while studying was 2005, When she started her online retail, selling Wigs, hair extension and African Sandals.

As she heads up the accelerated degree programs, Sporah found her passion in TV Presenting.

In 2010 Sporah achieved her Bachelor Degree in International Business Management from London Metropolitan University.

After watching different TV talk shows, Sporah realised how powerful TV is, and how it can influence or change people's life especially the young generation. So she came with an Idea of a TV Talk Show.

In August 2007, The Sporah TV Show was born, the show discusses issues that affect the Black African community residing in UK and Europe and Africa as a whole.

Currently, The Sporah Show is a weekly talk show shown in Europe and Africa (East-Africa). In Europe SKY Channel 184 BEN Television, every Monday at 9:30pm and in Africa (Tanzania) every Friday at 18:00pm and Saturday’s at 13:00pm on STAR TV in Tanzania.
In 2009, The Sporah Show was nominated for the Best TV Show and The Best TV Presenter of the year on BEFFTA Awards. And in April 2010 The Sporah Show received Awards for the contribution to the African Community in the UK.

In September 2010 The Sporah Show was nominated for the Best TV Show, Best TV Personality and The Best TV Presenter on BEFFTA Awards. December 2010 Sporah won award for the best TV Presenter of the year 2010
Sporah is passionate about the things that interesting her. Her job, family, her local church and community.

THE GOOD MOMENT OF HER ilikuwa siku ya kwanza kuiona Sporah Show kwenye TV, anasema alitoa machozi ya furaha! kwani ilikua ngumu sana kwake kuamini ukizingatia kulikua na vipingamizi vingi sana. Na pia siku aliyo graduate, hakuamini kama angeweza na hio ni kutokana na challenges alizokuwa anapata wakati yuko university kwani haikuwa kazi rahisi kwake kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja ambapo alikua AKISOMA huku akiendelea KUPRODUCE KIPINDI.
THE BAD MOMENT always ni pale anapokua amealikwa mahali ambapo hapahusiani na kazi zake hasa na marafiki zake wa karibu halafu akashindwa kwenda kwasababu ya kazi zake zisizoisha, huwa anajiskia vibaya sana kuwaconvince marafiki zake wa karibu hakuweza kuwa nao most of the time

KITU AMBACHO HUFAHAMU KUTOKA KWA SPORAH
Kwanza kabisa, She believes in GOD, she is a loving person, very easy to get along with.. very Simple, so caring, hard working and a risk taker.
Kitu kimoja ambacho angependa watu wajue ni kwamba amekutana na changamoto nyingi sana kwenye maisha yake na anaendelea kukutana nazo ila anajitahidi kukabiliana nazo kadri ya uwezo wake.

Nilimuuliza katika hizo challenges ambazo ameshakutana nazo anaweza akakumbuka nini kilichowahi kumkwaza na hivi ndivyo alivyonijibu...
"The few once that i can remember is: I was Young Black African woman from Tanzania!! Trying to do a TV Show!!! It was very very very hard to convince people here in London, even close people around me. Secondly, I had problem with a Language barrier.. Ila sikuona kama huwa Afrian au kutokuongea English ni Kilema/Disability!! Niliyaweka yoote pembeni na ku focus na kile nilichokua nataka kuachieve. Ninachojaribu kusema ni kwamba USIKUBALI MTU AKUAMBIE KWAMBA HUWEZI KUFANYA KITU AU HUWEZI KUFANIKIWA NO.. Ukifanya kazi utavuna unachopanda na Mungu hamuachi mja wake."
UJUMBE WAKE KWA WADADA...
"And for my Ladies! I so much believe that the world we are leaving nowadays its not only about beauty! not anymore. Now Its "Brain & Beauty Or Beauty with Purpose" and not just beautiful."

Cha mwisho kabisa SPORAH anapenda ssaana kupika kuliko kawaida, so mda wowote anaopata nafasi huutumia kufanya hivyo...

Kipindi cha sporah huoneshwa kila ijumaa saa 12 jioni na kila jumamosi saa saba mchana kupitia Star TV na pia Unaweza ukamtembelea kupitia blog yake ambayo ni http://www.thesporahshow.blogspot.com/ ns pia http://www.sporahshow.com/ pia kupitia facebook, twitter na youtube unaweza kujionea baadhi ya vipindi vyake ambavyo huwa anafanya...

23 comments:

Anonymous said...

Jaman gud for her ni mfano mzuri wa kuigwa,obvious every interpreneur are risk takers but their take calculated risk.

Anonymous said...

Nampenda sana huyu dada.

Anonymous said...

Mbona kama mmefanana fanana eti dada Zamaradi? embu uluzaneni vizuri au aulizei wazazi wenu vizuri!! Kitu ninachokipenda kwa huyu dada ni jinsi anavosisitiza jambo la elimu, kwakweli ni mfano maana siunajua Zamaradi mastar wengi wa bongo wanakimbia mitihani! kwaweli anastahili sifa. Napenda pia show yake.

Anonymous said...

Nimesoma na Sporah Kampala, she's been a good role model kuanzia tukuwa secondary. Love her.

SOSSY FORREAL said...

SPORAH IS AN INSPIRATION to YOUNG TANZANIAN GIRLS. igeni mfano wadada

SOSSY FORREAL

Anonymous said...

YULEE Nampenda sana jinsi alivyo, YULEEEE Nampenda sana jinsi alivo simple!! YULLLEEEEE
Nampenda sana Sporah, I met her Once ubalozini, yaani alikua very very simple halafu alikua amependezaaaaa lakini hajaringa, akawa anaongea na kila mtu. Napenda kina dada kama hawa. Asante kwa haya mahojiano ingawa hakuna Relationship status. Zamaradi.Nakupenda na wewe pia jinsi ulivo mzuri halafu uringi. DU!

Anonymous said...

Jamani anamchumba huyu mtoto? Ila anaoneka anadeka sana, kupika anajua kweli? Ule ugali wa kisukuma? Ila ananitega,
Dada Zamaradi acha kuni "TEGA"

Anonymous said...

Anavutia kweli, Vipi STATUS yake?

Anonymous said...

Nimeona show yake leo hapa Star Tv, yuko juu ila angekua anaongea kwa Kiswahili maana nilikua na Bibi yangu basi nikanza kuwa mkalmani wake badala ya kuenjoy show.
Dada Sporah jaribu kuchanganya na Kiswahili kidogo kwenye show yako ili na kina bibi zetu waelewe. Bibi yangu anapenda sana show yako ila hamueleani!!!!!

Anonymous said...

Mtoto anaakili huyu, wakina dada UZURI UKO MADUKANI SIKU IZI HATA KWENYE MA INTERNET.
I love you spora

Anonymous said...

Kwa karne hii yasasa, Kukuta msichana mrembo kama wewe, anafanya kazi kama ya kwako, Anajua kuvaa vizuri, anamuheshimu Mungu, anajua umuhumu wa Elimu, DDUU!! minimependa sana hii na tunashukuru Zamaradi kwa kutuwekea inspirational interview kama hii kwani nimejifunza kitu hapa. Karibu Mwanza Da Sporah tule samaki, Watamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

Nimekapenda ka Interview, kafupi lakini kako very Interesting.
Mdau USA

Anonymous said...

Kama mmefanana fanana kiustarabu! Anaonekana mstarabu, vipi anamchumba?

Anonymous said...

Nakubaliana na wadau hapo juu, ni mfano mzuri sana wakuigwa.

Anonymous said...

AM RUTH FRM ST.JOSEPH NGARENARO ARUSHA,ACTUALLY A LYK YO SHT CV.HONESTLY A ADMIRE U SO MCH.CONGRATS SPORAH, KIP IT UP BABY.TCHAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.HALAAAAAAAAAAAAAAAAA.MWAAAAAAAAAAAA,

Anonymous said...

AWANA B LYK U.DA GAL WTH BG DREAMS CONGRATS RUTH.........

Anonymous said...

Asante sana Zamaradi, Mimi naishi Mwanza, Lugha ya Kiingereza imekua ngumu kwangu kuanzia nikiwaa mdogo hivo sitakagi hata kuiongelea, Ila Moyoni nakuaga naumia sana maana dunia tunayoishi Kiingereza ndio mambo yote.
Hilo lilinifanya nikakosa kabisa matumaini na ndoto zangu nyiingi ambazo nilikua naona haziwezi kutimia bila mimi kuongea Kingereza fasaha.
Sasa kusoma vile huyu dada alivokua anateseka na kiingereza chake lakini hakukata tamaa, Aisee nimeamka hata mimi sintakua najali tena kiingereza maana najua uzuri Mwenyezi Mungu kanijalia ni hii lugha tu ndio inanipiga chenga.
Asane sana Sporah umenifungua mamcho.
F************** Kingereza, Mi najivunia kiswahili kutoka sasaivi.

Anonymous said...

Show yake nzuri lakini ingekua ya Kiswahili ingekua nzuri zaidi, halafu nafikiri labda angekua CLOUD TV na sio STAR TV.

Anonymous said...

I like the way you carry yourself Sporah. Karibu Arusha.

Anonymous said...

Sporah nakuzimiaga kuanzia tukiwa shule, sasa bongo lini?

sikudhani kamhis said...

jamani kuna wanawake wanamaendeleo wana ni inspire kwakweli natamani san siku moja na mimi nihojiwe niwape wtu mbin nilizofanya had kufikia malengo? nawakubali sana wanawake wenye high self esteem.kip it up sporal

Anonymous said...

Me namkubali kwa show zake ziko bomba.
ila tuu sijapenda alivyoweka picha yake ya kichupi kwenye intaneti kajidhalilisha.
Achaneni na mambo ya kujianika kama umaarufu unao unataka nini tena

Anonymous said...

leaving ama living?. Kama kingereza kigumu then kiswahili plz. Leaving=Unaondoka......living=unakaa