Hapo ndio ninaposema like father like son coz alichanganyikiwa kabisa baada ya kuiona MIC na ukizingatia kazi ya baba yake inahusisha Microphone so huenda kuna vielement flani vya baba ama familia historia inajieleza.. TUNASUBIRIA lol!!
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
4 comments:
oyaaaaaaaaa!hii ni nouma, uyo dogo ni kama kabinti flani ivi, mwambie Bana aachane kabisa na mikato iyo kwa mwanae, ishu kama izo zimesababisha watoto wengi kuingia kwenye mambo ya kishoga...nadhani utakuwa umensoma
Wahenga wanasema maji hufuata mkondo labda naye atakuwa msanii mkubwa mwenye mvoko ya kutisha TZ. nzima.
Zama Kwenye mechi ya wasanii hatujamuona Jackline Wolper wala Irene Uwoya na walisema anatoka Cyprus anakuja kucheza mpira na yeye. Kulikoni??!! Na majina ya wasanii wengine waliotajwa hawakucheza kbs e.g Cloud 112 na Frank(Mohamed Mwikongi) wala jezi hawakuvaa na waliocheza wengine hawakutajwa kwenye list. labda unisaidie we2 na Dina ilikuaje?? By the way it ways so cool!! Big up kwa team nzima ya Clouds na wadau wooooteee!! By mama Wawili au Mrs. Mjaka
Nakubaliana na Mlommoja. Si lazima tuwasuke watoto wetu wa kiume. Tafiti nyingi Ulaya zinathibitisha ule msemo "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo". Hiki kiti ambao wenzetu wanakiita "gender ambiguity" (yaani, kumkanganya mtoto kijinsia) kinachangia sana kuchochea ushoga na usagaji. Si mimi nasema hivyo, bali ni tafiti za USA na Ulaya ndizo zinazoonyesha hivyo. Pili, tuache kuiga kila utamaduni uozo kwa kisingizio cha "usasa". Huyu jamaa anaweza kuwa ni musician mzuri lakini kimtazamo amechemsha kweli kweli!!! Namuonea huruma bwana kadogoo. Mungu amsaidie.
Post a Comment