Friday, March 4, 2011

DILI LA FUNGA MWAKA: HII NI KWA WALE WENYE MADUKA YA NGUO NA VIATU NA ACCESSORIES..


Msanii Estelina sanga maarufu kama LINAH kwa mwaka huu wa 2011 amekuwa nominated kwenye TUZO TANO katika kilimanjaro Music kupitia categories mbalimbali, Mara nyingi kwenye EVENTS kubwa kubwa nje maduka/madesigner wakubwa huwa wanajitolea kuwavalisha wasanii mbalimbali wakubwa na hiyo ni moja ya njia za kujitangaza pia kwasababu huwa kunakuwa na RED CARPET na msanii anatakiwa kupendeza na mara nyingi huwa anasema amevalishwa na nani
Kwa mwaka huu ukiangalia kiwango chake na nyimbo zake na kupitia categories hizo tano zote namtabiria Ushindi mwanadada LINA na katika hilo pale anapotokea kwenye red carpet na hata wakati wa kupokea tuzo basi lazima aonekane amewaka..

Hivyo kama wewe una duka la NGUO na unaliamini kwa maana ya unaamini duka lako lina viwango vyote vya kumtoa LINA na akapendeza hasa on the EVENT basi wasiliana na mimi kupitia 0656-956726 halafu tutakutembelea hapo ulipo na Linah na kuangalia hizo pamba katika duka lako pamoja na kupiga picha ambapo katika nguo hizo zote kutoka maduka tofauti tofauti inatakiwa ipatikane MOJA ambayo ni THE BEST na itakayoshinda ndio linah atajitupia nayo on KILIMANJARO MUSIC AWARD this year 2011.... na hilo ndio litakuwa duka la ushindi..
Hii ni kutoka zamaradimketema.blogspot.com

4 comments:

Anonymous said...

jamani mbona sura imemzeeka sana khaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

mtafuteni unique pearl collection ana pamba za maana toka uk anapatikana hata facebook niamini amtoe mtoto hata wewe ushawahi nunua viatu kwa mwana fa na nguo unabishaaa hata alifanya fashion show na khadija mwanamboka

Anonymous said...

Umefanana naye huyo LINA.Ndugu yako nini ZAMA?
Sura zenu wote kama wazee......
Mmmh mtoto mdogo kama bibi

Anonymous said...

Jmn hiyo sura vipi mbona imezeeka