Tuesday, March 15, 2011

I DESERVE IT... ON SET!!!

Hii ilikuwa ni behind the scene ya filamu inayoitwa I DESERVE IT ambayo imedirectiwa na ADAM KUAMBIANA
Hapa Hemed akifanyiwa make-up kwa ajili ya kuingia mzigoni..
Farid uwez (Cameraman) akiwa mzigoni
Wadada ambao nao wamo kwenye hiyo filamu.. WINNIE kushoto pamoja na mdadaa mwingine hapo kulia!!!
Jacky Pentzel aliesimama, hemed pamoja na mdadaa hapo chini
RIYAMA nae anapatikana ndani ya hii filamu.. One of the actress ambao wako REAL hapa BONGO.. naona umenenepa mamii!!!
THE DIRECTOR Adam kuambiana akiwa on set nae amecheza pia kwenye hii filamu JAMAA ANAJUA SANA AISEE.. kwa mara ya kwanza nilimuona kupitia fake pastors na baadae akaonekana kwenye filamu nyingi tofauti ila kwa sasa mtizame ndani ya I DESERVE IT.

Kwenye misukosuko
Adam Kuambiana pamoja na Jack pentzel a.k.a jacky wa chuzi wakiwa on set

MAKE-UP muhimu...
Nimependa sana ADAM alivyoigiza kwenye hii filamu.. He is so real.. itafute hii filamu halafu utaniambia
mzigo unaendelea..
Huyu ndio cameraman wa hii filamu anaitwa FARID UWEZO
watu wakiwa wamepozi baada ya kumaliza kazi.. Hii ni filamu mpya ambayo imeingia sokoni inaitwa I DESERVE IT.. kikubwa nilichokipenda humu ni jinsi waigizaji walivyokuwa real, wengi wao wamecheza vizuri sana na hata director amefanya kazi yake vizuri though mapungufu madogomadogo hayakosekani.. hiyo ni kwa upande wa uigizaji tu kama una mengine nitumie maoni yako!!!

5 comments:

Anonymous said...

Asante kwa kutuhabarisha na hili. Ila mi sikuelewi km ni kazi kukubana au uvivu mana kufanya update humu kwa blog ni mpk utake unaweza banwa na kazi siku 1 au 2 km wengine ila wewe hata wiki au zaidi huna jipya kweli??????????
Hii blog sikwaajili yako ni yetu sisi wadau ndomana watujuza km ivi sijui ulizani mchezo kuwa na blog mama its an extra job wake up huwezi funga alaaaaaaaaaaa
Au ndo tuseme ushazoea kusemwa semwa kwamba kwanini hivi kwanini vile mbn hutuwekei ivi au vile??? ushazoea eeeh?????? fine ila kaa ukijua haisaidii wajiharibia

Anonymous said...

Mbona mnapenda kumuharibia mwenzenu Da Dina kashakukataza lakini hukomi. Jack wa chuzi maana yake ndiyo nini? Mtu wameachana mnakuza tuu msimuharibie mwenzenu kama ana mtu wake anajisikiaje. Mwiteni jina lake.
Mbona wema hamumuiti WEMA WA KANUMBA.
ACHA USHAMBA BWANA

Anonymous said...

yaaani Zama nakubaliana na wewe 100/100 kwenye swala zima la Adam maana anajua sana kuitumia nafasi yake ... halafu umegundua akiongea kiingereza tense zake zimeenda sshule sio wale wenzatu nasie lugha hawaijui then wanatubabaisha tuu... ilove your work Adam

sophia mkumbo said...

nahisi hiyo filamu itakuwa nzuri ila hemed inabidi apunguze pozy kidogo

Emma said...

Huyu Adam Kuambiana ni rafiki yangu tuliepotezana siku nyingi sana....naomba email yake tafadhali dada Zam! Naitwa Emma niko Mwanza