Wednesday, March 30, 2011

KUTANA NA JOTI a.k.a ANDUNJE..katika process za kupiga picha!!!

hapa ilikuwa ni mjengoni (Clouds) nikiwa na joti a.k.a Andunje.. mmoja kati ya wachekeshaji ninaowakubali hapa BONGO.

Naona ukikutana na muumini na wewe unajikuta taratibu unakuwa muumini ndio kilichotokea hapo kama unavyowaona VIJANA ghafla tu nao waligeuka macomedian kwenye hiyo picha.. mi kazi yangu ilikuwa kucheka tu!!!

Kutoka kushoto ni BONGE wa powerbreakfast, ARNOLD KAYANDA, mimi ZAMARADI, MILLARD AYO pamoja na JOTI ambae ndie kawasababishia wenzake wawe makatuni kwa muda...
Hapo JOTI akionesha hairstyle yake ya sikuhizi..
Vinywele juu...
pamoja na kwamba nimemzoea lakini saa nyingine huwa nashindwa kujizuia kucheka...
Hahaa haaa.. pozi la picha lilianza hivi..
Mara akanitolea ulimi nje
Ghafla akabadilisha hali ikawa kama hivyo


Mara hee...
Ukatuni unaendelea...
Mwisho wa siku ikabidi tupozi tu serious kwa picha.. huyo ndio joti ambae anapatikana kupitia 'ORIJINO' COMEDY on TBC

6 comments:

The Swaggalist said...

Your hair style is stunning Zama. And i like your Swagga...

Anonymous said...

Zama wewe kazi yako ulikuwa unashika tu hizo nywele zake.

Anonymous said...

mi ni fan wako mkubwa ndomana naingia humu mara kwa mara sasa nisipokuta update zozote sifurai.
Mi sikuelewi km ni uvivu au la mbn km upo updated sn na matukio ya kitaa km parties nk lakini humu umezubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tukio ukiliweka basi waenda likizo kisha ukijisikia ndo unaweka lingine. unabowa

Anonymous said...

umependezaa sn usoni nimependa poda imeendana na rangi yako u look mwaaah

bora ulivyolitoa lile liwigi na usiliweke tena

Anonymous said...

Zama ukicheka hupendezi hata kidogo bora hilo pozi la

Anonymous said...

Hi zama, thanks so much for listening to your funs, i once told u about the stolkings and indeed leo umeweka picha ambazo hujavaa hizo soksi mwili zako. You look lovely without them. MWAAAAAAA