Wednesday, March 16, 2011

NIMEIPENDA TU HII PICHA YAKE.. MSENEGAL ANAEFANYA VIZURI MAREKANI....

Kuna waafrika wengi wanaofanya vizuri marekani kupitia tasnia tofautitofauti na katika hao huyu pia ni mmojawapo..
Anafahamika kwa jina la GABOUREY "Gabby" SIDIBE alizaliwa tarehe 6 May, 1983 na ni muigizaji mwenye asili ya AFRICA kutoka SENEGAL ambae anafanya vizuri sana Marekani... na nyota yake ilionekana zaidi mwaka 2009 alipocheza filamu ya PRECIOUS na kwa hiyo filamu moja alijikuta akiingia kwenye nomination na iliweza kumpatia tuzo..
SIDIBE alizaliwa Bedford-stuyvesant, Brooklyn New York na alikulia Harlem, mama yake alikuwa ni mmarekani mwenye asili ya kiafrika ambae ni muimbaji wa R&B na Gospel na aliweza ku-appear kwenye season ya TANO ya AMERICA's GOT TALENT tarehe 15 june 2010 wakati baba yake ni MSENEGALI anaeitwa IBNOU SIDIBE ambae alikuwa ni Dereva wa Tax..

Kikubwa kilichonivutia mpaka nikaweka yanayomuhusu kwa uchache ni hiyo Picha yake hapo juu.. imenivutia sana nikaona si vibaya kuitupia pamoja na machache yanayomhusu!!!

11 comments:

Anonymous said...

Mmh..nilikuwa nadhani we mjanja kumbe uko shallow, huyo si precious?

SIMON KITURURU said...

Bonge la picha! Sijui alikuwa anafanya nini alipodakwa!

Zamaradi said...

usipende kuongea usivyovijua.. ninachoandika nina uhakika nacho.. hiyo PRECIOUS ni filamu aliyoifanya na hilo ni jina alilotumia kwenye hiyo filamu BUT JINA LAKE HALISI ni hilo hapo juu... nafkiri wewe ndio uko shallow.. Jaribu kutumia google vizuri ndugu.. Thanks for the comment anyway!!

Anonymous said...

Mjanze ajae huyo anadandia magari kwa mbele,jambo halijui lakini anabisha ilimradi tu ajulikane naye anajua,kumbe hana lolote.

Anonymous said...

Usiambiwe ukweli mmezidi kucopy na kupaste matokeo yake mnacopy vibaya.
Usituwekee usichokijua, Kama vipi jaza picha zako za KUEDIT ndiyo unachoweza...........
Utajibeba mwaka huu.........

Anonymous said...

Anony wa juu Mshamba lakini
kwani naomba kuuliza kuna mtu ambaye hamjui Precious? huku Marekani Papparazzi bado wana-refer kama Precious kwa hiyo sioni kama inaonesha mbaya kumwita precious..hii picha ni ya mwaka Juzi na mama yake alishiriki hiyo Americas got talent mwaka Jana...Old news..ni wazo tu

Anonymous said...

Zamaradi i like the gal yu should watch 'the big C' yupo humo anafurahisha sana.
pendo.

Anonymous said...

wanawake bwana.

shirfa said...

acheni roho za kwanini mambo ya picha za kuedit hayakuhusu wewe fata yako istoshe ujalazmishwa kufungua hii blog sawa acha ushamba pia wewe ni wa kuja ndo maana hujui maendeleo nenda kapige wewe picha usiedit halafu tukuoneshe za kwetu acha mdomo mchafu hata kama kakosea haihuuuuu ni binaadam

Anonymous said...

we Shirfa nani kaongea kuhusu editing? hamna mtu..umetoka wapi?

Anonymous said...

It's amaizing how people interpret stuff! Am flabbergasted by the comments i found here.

Well i too decided to comment because i truly enjoyed the movie "Precious". I think for me it was the best ever acted by Monique. Frankly i did not know Gabby at all but she gave the perfomance of her life in the film. What astounded me the most was her mom's appearance in the Reality show last year(if i am correct). That lady can sing. Maybe it is true what they say about talent...that it is genetic and that a fuit does not fall far from it's tree. Impressive singing, opera like and truly touching.