Monday, March 21, 2011

MASTAR WETU WA MOVIE.........

Jackline Pentzel (jacky wa chuzi) pamoja na Miriam jolwa (Jini kabula)
Guess what was going on!!!

34 comments:

Anonymous said...

hao wanata kuchakachuana a.k.a kusagana

Anonymous said...

Sasa wanafanya nini jamani?
Zama hii picha inawafundisha nini watoto wetu, hawa ni mastaa au mavichaa?
Au ni filamu wanaact, na kama ni filamu,filamu gani? Kwa maadili yetu ya kitanzania haturuhusiwi vitu vya namna hii.
Huyo Jack siku hizi sijui kawaje jack zamani alivyokuwa anakaa upanga alikuwa msichana mmoja mstaarabu sana lakini sasa hivi kawa kama ana laana. Huyo jini kabula naye sijui ana laana. Halafu wote wana watoto wadogo wanawafundisha nini?
Mbona wasanii wa bongo wanatakaga umaarufu wa kijinga?Kila nikisoma kwenye magazeti mara msanii fulani wa kike kampa denda mwanamke mwenzie, wakiulizwa wanajibu mke wangu kaandike unavyojua. Maaana yake nini ulimbukeni au kuiga ya wadhungu?......why?
Mnatudhalilisha na kwa style hiyo filamu zenu zitakuwa haziuziki
Mmenichefua sana.......
Labda mambo ya kidhungu me mshamba nisaidieni jaman.
Au mambo ya COMPUTER IMECHEZESHWA?
Au zama utujibu wanamaanisha nini?

Anonymous said...

pleeeeeeeeeez!!!!!Zama ni scene ama ni nje ya scene? kama ni nje ya scene dunia imeisha jamani loh!

Anonymous said...

Zamaradi. Kama unataka blogspot hii iheshimike, naomba usichapishe picha kama hizi ambazo zinakwenda kinyume cha maadili, mila na dini zetu zote. Kama watu wanafanya haya mambo vyumbani kwao shauri lao. Lakini hadharani? Hiyo haikubaliki kabisa. Si lazima uchapishe kila uchafu unaotokea mitaani, hasa ukizingatia kuwa siku hizi kuna watoto wana access kwenye site kama hii. Natumai utatusikiliza.

Anonymous said...

Hapa nani bwana na nani bibi?

Anonymous said...

Tanzania tuna umaskini wa mali. Hatuhitaji umaskini wa maadili. Bora mtu ukose mali kuliko kukosa uadilifu. Siwahukumu lakini nasema hawa wasichana wanasikitisha.

Anonymous said...

Hata kama ni filamu wanaact hatutaki filamu hizo ambazo zitawakanganya watoto wetu. Je filamu hiyo inaitwa Sodom And Gommorah?

The Director of Touch of Art Vision Pro said...

DUH...PLIZ DNT TEL ME ITS TRUE...wtf are they doin...?

Hawa said...

wote hawa ni vichaa!! Wamemgombania Chuzi weee saahiz wameona bora wafanye huo upuuzi wao. Hovyoooooo!!

Anonymous said...

wasanii wananiudhi mimi puuuuuu
kwanza usanii bongo
mavi matupu......

Anonymous said...

this is too much n hata kama uzungu imezidi

Anonymous said...

Yaani wabongo mnataka Maendeleo lakini, inavyokuja navyo mnajifanya hamvitaki. Zamradi yeye anaposti anachokiona. Ndiyo uhuru huu tunaofuata sana wa kuiga wa ulaya na wamerikani. Kama hamtaki msiangalie TV, mtandao na kuwa na magazeti. Wengine mnanongelea dini, mala siyo utmaduni wetu. Basi hata hizo Tv siyo utamaduni wetu. Kwanza dini ndizo zilizotufanya sisi watumwa. Inabidi mkubali matokeo tu na kuwachaa unafiki, kwani wengi wenue nyinyi mnafanya haya mambo kwa siri, kwani wengi wanajulikana mitaani ingawa gizani. Acheni uonezi na upumbavu wa kujifanya ndiye mahakimu wakila takatifu.

Anonymous said...

Zama uwe unachagua kipi cha kuweka katika blog yako plz to be honest huu ni uchafu uwe ni movie ama laa,,leo kila mtoto ana access ya net km home mpk mdogo wangu wa miaka 14 ana modem yake so wapi tunaelekea huku?then Zama if you have somethng wrong na huyu jack wa chuzi utafute pa kumpaka n dont use ya blog coz pa kuna gazet flani waliktoa unampaka chack wa chuzi,,plz bwana tena mi huwa nawashawish wadogo zangu wafungue blog yako na ya dina.

Anonymous said...

malaya wote hao hiyo ni kweli kabisa sio wanaigiza walipoulizwa wakasema waachwe kama walivyo. huyo jini malaya sijui kabula mbaya simpendi kwa matendo yake. na huyo jack mzuri lakini maharage mabichi. ustaa bongo hata nyumba hawana wetegemee miili yao ili wale. crazy girls

Anonymous said...

Umalaya tu unawasumbua hamna lolote, kwanza wamefulia hao unajiita staa wakati hata chumba 1 huna, unajibanza kwa mashoga ushuzi tu

Anonymous said...

WASHENZI WAKUBWA HAWA, WANATUDHALILISHA WANAWAKE WENZAO, WALAANIWE WAO NA VIZAZI VYAO VYOTE, LO! SHAME

sophia mkumbo said...

wana hitaji maombi nahisi watakuwa wamechanganyikiwa

Anonymous said...

Hawa ni wa kuombewa. Haya si mambo ya kuanika hadharani. Mtu hutakiwi uanike hadharani chupi yako yenye kinyesi.

Anonymous said...

Hii hawa wanataka kutuonyesha nini hasa? Kwamba wao wameendelea sana? Stupid a******s!

Anonymous said...

vizazi vyao visilaaniwe tafadhali havina makosa walaaniwe wao wenyewe na laana zao.ovyooooo

Anonymous said...

Ni nii hiki jamani? kama ni movie tufahamishe.... maana mi naona uozo mtupu; tongue kiss na mwanamke mwenzako! thats unethical at all. Nadhani wanahitaji mahombi au tuwapeleke kwa babu inawezekana huo ugonjwa umewafika... hatari jamani.

Anonymous said...

Anon wa March 22, 8:33 PM, Wewe ni shoga au msagaji. Unasema kuwa eti kama tunataka "maendeleo" basi tukubali yale mambo yanayokuja na "maendeleo" hayo!!!! Usagaji na usenge si maendeleo. Tunataka maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Kwa mantiki yako kama Tz tunataka maendeleo basi na sisi tuanze kufanya sex na mbwa (tafiti zinaonyesha kuwa 3% ya wanawake na mashoga USA wameshazini na mbwa au wanyama wengine). Je hayo ni maendeleo? Ila nakubaliana na wewe kuwa kuna watu wengi wanafanya hivi vitendo kwa siri na kuvilaani hadharani. Lakini hicho si kisingizio cha kuposti picha za wasenge na wasagaji wakipeana denda. Kwa taarifa yako, kuhusu usenge na usagaji, dini zetu zinakubaliana na mila na desturi zetu za Kiafrika 100% kuwa hivyo vitu havikubaliki. Kama wewe unafanya mambo hayo chumbani kwako siwezi kukuhukumu hata kidogo. Lakini kama kesho wewe utaanza kuandamana kudai serikali, mihimili ya jadi na dini zetu zihalalishe ndoa za wasenga na wasagaji ntapambana na wewe vikali. Ninachosema ni kuwaunga mkono wale ambao hawataki tuingie kwenye gay & lesbian pornography. Sina nia ya kukuchunguza unafanya nini kwako. Mwisho, wazungu wakianza kwenda choo hadharani na sisi tutatakiwa tuwaige? Hapana. Kuna mengi ya kuiga kutoka Ulaya na USA, lakini SI usenge na usagaji.

Anonymous said...

Wadau, najua kuwa kimila na kidini hii si sawa, lakini lazima nikiri kuwa moja ya ndoto zangu ni kufanya mapenzi na mademu wawili kama hawa (threesome) japo mara moja tu. Swali kwa wanaume wenzangu ni, je ni mimi peke yangu nina fantasy hiyo au kuna wengine kama mimi?

Anonymous said...

Hapa Jackie ni bibi na Miriam ni bwana kwa kuwa Miriam kamshika Jackie kiuno.

Anonymous said...

uchafu tuuuuuuuu

Anonymous said...

Ngastuka,Madai yao their super crazy in love lol shame upon them.
U super star gani huo? unawafundisha nn watoto wetu. u super star wenyewe bongo!!!....

Anonymous said...

Napenda Kumjibu Anon. wa March 23,2011 4:05 PM
Kwanza napenda kusema asante kwa kujibu kiistarabu badala ya kawaida watu wanajibu matusi. Nakuelewa unachosema lakini nadokezea ya kwamba siye tukiiga Ulaya na Marekani chochote yaani hatuna ujanja. Watoto wanatuzidi kwenye hizi komputa na TV kwa hiyo wanaona zaidi yetu. Halafu kuhusu dini, naona huu mjadala unaweza kukaa usiku mzima. Dini zetu haziendani na maadili ya kiafrika, dini zote zililetwa na wageni kwetu na bado zinasupportiwa na wageni, ambao wanawaambia viongozi wafanye iki au kile. Yaani na hizi komputa sasa, jamaa wameteka ulimwengu mzima. Na hawa Wamerikani wakianza kusimamia hiyo ishu,ya haki kwa kila mtu,kama wewe kweli unajua siasa za ulimwengu basi unajua hao jamaa wanaongoza Marekani na ulimwengu.Ingawa mie sie sioni sahihi kuwanyima haki binadamu wengine.

Anonymous said...

anon wa March 22, 2011 10:31 AM
mbona mcharuko? nenda taratibu basi. kuhusu hawa vicheche walikuwa wakifanya threesome na huyo sijui mchuzi sasa sijui kaenda wapi ndo wanafanyana wenyewe. bottom line ni kwamba njaa inachangia. tukijadiliana kuhusu njaa tutamaliza wiki nzima bora niishie hapa.

Anonymous said...

Anon wa Mar 25 7:19 AM, Nashukuru kwa jibu lako. SIKUWA na nia ya kuwanyima haki za kibinadamu watu wengine kwa kuwa nimesema kuwa mimi sijali watu wanafanya nini vyumbani mwao, sitawachunguza wala sitawahukumu. No human being is perfect. Asiye na dhambi atupe jiwe la kwanza (kumpiga mzinzi). Ninachosisitiza tu ni kuwa kama USA na Ulaya wanaziweka picha kama hizi hadharani si lazima tuwaige. Ukitazama wakati nchi hizo (USA na Ulaya) zinaendelea katika historia zao karne za 17 mpaka miaka ya 1950's, walikuwa wakali sana kwa upande wa maadili na kupiga marufuku pornography. Mimi naona kwa sasa tu-focus kuiga mambo ya kutuletea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kuhusu access ya internet, INTERPOL wameunda kitengo maalum cha kupambana na watu wazima wanaowatongoza watoto kwenye mtandao.

Anonymous said...

kam on whats this, u mean ushamaliza wanaume wote hadi mmeanza wenyewe kwa wenyewe ama what a u looking for out of it, i real dnt get it, how does it feel, shame on uuuuuu........

Anonymous said...

kam on whats this, u mean ushamaliza wanaume wote hadi mmeanza wenyewe kwa wenyewe ama what a u looking for out of it, i real dnt get it, how does it feel, shame on uuuuuu........

Anonymous said...

mmh aya baanaa.!!!! ndoa lin.....??????

Anonymous said...

malaya hawa!!! wamemgombania chuziii, sa hivi wanajifanya wanapendana........hawana lolote,kila mmoja hapo anatafuta kumchafua mwenzie!!!

Anonymous said...

Acheni kujiongopea wewe kama unafanya mapenzi hujaoa au hujaolewa jua kwamba utajumuika na hao mashoga na wasagaji kwenye ziwa la mote kwa degree ile ile.