Saturday, July 9, 2011

HATUNA CHA KUFICHA SABABU MAPENZI YETU NI YA UKWELI NA HATUACHANI KAMWE - DIAMOND NA WEMA.... EXCLUSIVE PHOTOS!!!!!

Diamond na Wema.. Mahaba Moto kama unavyowaona!!!
Hayo ni maneno yaliyotamkwa na wapenzi hao wawili Diamond na Wema na kusema kwamba pamoja na kwamba watu wanaongea sana juu yao, wao wawili hawajali maneno ya watu na wala hawategemei kuachana leo wala kesho kwani wanapendana sana hivyo maneno ya watu hayataathiri chochote kwenye mapenzi yao..


Na kingine walichozungumzia ni uwazi wa mapenzi yao na kusema hawaoni sababu yoyote ya kuficha chochote kile sababu wanajiamini na mapenzi yao sio ya kubabaisha ila ni ya dhati kutoka mioyoni mwao so wapambe mliokuwa mkihoji juu ya kuachana kwao habari ndio hiyo..
WEMA and DIAMOND kama unavyowaona..
DW forever...... MPO!!??

Hizo ni baadhi tu ya Exclusive photos kutoka kwa blog hii Pekee, kwa nyingine zaidi na zaidi endelea kupitia humu nitakushushia soon!!


Stay tuned....

70 comments:

Anonymous said...

hawapendani chochote!wanadanganyana tuu!diamond anamuactia wema kama vile anampenda kumbe ni ulimbukeni wa kuonekana na demu kama yule halafu pia nahic kama vile alijiwekea kwamba nikiwa star azima nimpate wema,basi hata kama wema chizi na ligumegume yae analichukua tuu!!!!!na we4ma nae anatest zali kwa kuact ngoja nijifanye nampenda sana kumbe muongo kwa anavyoelewa yeye anampendwa sana na diamond hivyo anajitahidi kututlia!@!!muulize dodoma alifanya nini hatajibu!!lakini mbele ya jamii wanajitia wanapendana kumbe la kila mtu rohoni!!!kazi ya kutiana UKIMWI tu!!waulize washapima UKIMWI!!!!!!

Anonymous said...

wewe Zama mm hata sikupendagi tena tokea ulivyotupigaga changa la macho kuhusu majibu ya Chaz kuhusu Wema nlikunawa mikono. mana uliingia nayo mitini nahata baada yakukuomba sn ukawa huonekani!

Anonymous said...

Unahisi nini wewe? acha ujinga angalia maisha yako, ya Wema na Daimond waachiwe wenyewe.Huna shughuli eeh? na wewe tafuta wa kudanganyana nae!!!!!UTAJIBEBA HII 2011

Anonymous said...

wamependeza, wema mzuri sana. hii inaitwa wenye wivu wajinyonge

Anonymous said...

Nawaonea huruma wazazi wao na ndugu zao. Wema na Diamond wote wapumbavu wasiowaheshimu wazazi wala ndugu zao kwa kuruhusu picha hizi zipostiwe. Labda kwa upumbavu wao wandhani huu ndio uzungu na maendeleo, kumbe wanajidhalilisha wao na wanafamilia wao. Hawa wote wawili ni wa kuombewa seriously.

Anonymous said...

Katika umaskini wote umaskini mbaya zaidi ni ufukara wa akili na maadili kama hawa a******s wawili.

Anonymous said...

Nakumbuka Rahim Bob Junior alipokuwa anaumwa sikio, Diamond alimfuata Bob Junior na kutaka amrekodie albamu yake. Bob akamwambia Diamond warekodi albamu akishapona. Diamond akaenda kumshitaki Bob kwa huyo Wema wake. Wema akamfuata Bob na kumtishia kumuua mbele ya mashahidi zaidi ya kumi (mimi ni mmojawapo). Bob hakutaka fujo akamfungulia Wema kesi ya kutishia kuua. Wema alipoona yuko maji marefu akaanza kuhaha na kumbembeleza Bob. Bob akamsamehe Wema. Wema ni mshari sana na hana uadililfu hata kidogo sijui anavuta nini. Mtakumbuka pia alilitia damage gari la Kanumba kwa ushari wake.

Anonymous said...

Nakubaliana na mchangiaji wa kwanza kabisa. Hawa wote wawili ni watu feki 100% na mazuzu ya kutupa.

Anonymous said...

Wema na Diamond hawana adabu. Hatua inayofuata watatoa picha wanafanya ngono.

Anonymous said...

Wema = shangingi + pashuna. Diamond = emptyhead + imbecile.

Anonymous said...

Tatizo la wema ni ma-frustrations tu aliyobebeshwa na mboyfriends wake kwa hivyo simlaumu san. Wema anahitaji mwanamume strong (kitandani na nje ya kitanda) ambaye atampenda na kumpa mwelekeo wa maisha, kimaaddili, kikazi na kadhalika. Huyu anataka dume aliyemzidi kiakili na kwa kisomo pia, sio mambumbumbu ambao hawatampa muongozo wowote na ambao baada ya kupata wanachotaka watamwacha kwenye mataa. Poleni sana wema na diamond.

Anonymous said...

hamna mapenzi hapo ni ulimbukeni wa mapenzi. wenyewe wanaona raha wakiona picha zao kwenye blog au kwenye magazeti kumbe hawana lolote wanaogopa tu kutemana ili watu wasije sema si tulikwambia diamond?huyo kicheche hapo kinajitahid ili kuogopa kashfa za kuachwa tena ndo maana kinajidai kipo crazy. halafu mbona wema anakuwa jimama hata hapendezi na hayo matatuu mmmhh huyo muhuni tu. diamond unajiharibia sifa na utapoteza mashabiki sababu ya huyu demu.ni hayo tu

Anonymous said...

hamna mapenzi hapo ngoja tutaona na wewe diamond maisha yako yalivyo uungetakiwa ujipange kwanza achana na huyo kiruka njia anakupoteza haya weee tutaona.

Anonymous said...

mapenzi ya kweli huonekana bila hata ya kupigiwa debe! kila la heri DW

Anonymous said...

wema ni kama yule dada mwanamitindo malaya wa uingereza katie price (jordan) anabadilisha wanaume na lazima ajitangaze!

Rik Kilasi said...

DUH!!!

Anonymous said...

Mmmmmh No Comment

Anonymous said...

DW Radio and TV ?????????????? Zamaradi mie nakupenda kweli.

Anonymous said...

wema aliwapenda wangapi na sasa hivi wako wapi? aliwaonyesha mapenzi km hayo anayomuonyesha diamond hawana muda mrefu hao yetu macho

Anonymous said...

wema hajafika bado hapo anapita tu

Anonymous said...

we malaya wema wacha kujishabadua tambara la deki we kila m2 anadeikia

Anonymous said...

hapa dar nani amtake hata mwenda wazima akipewa atamtolea nje kampata huyo mshamba diamond anaona kapata kumbe.............kapatikana

Mama 2 said...

Zama huo ni utoto, mapenzi hayaonyeshwi kwa picha za mapenzi, wao wakae kimya waendelee na mapenzi yao, mwisho wa siku tutaona kama ni mapenzi ya kweli au la! Hebu nyie mlio karibu nao waelezeni.

Anonymous said...

Hayo yote kina wema na bwege lake ni malimbukeni tu yasiyo na adabu. Wanahitaji maombi ya nguvu.

Anonymous said...

Hawa wananikumbusha usemi wa Malcolm X aliposema "Showing off is a fool's idea of glory".

Anonymous said...

hivi hawa wana wazazi kweli!?? haya naamini next wek Zama utatuwekea wanasex sasa au unasemaje!? kua makin angalia v2 vya kuweka kwenye blog mana nawe tutahisi una akili kama zao!! mi naamin we ni msichana mwenye maadili na ni mara nying unakemea wasichana wanaoenda kinyume na maadili sasa ni nini hiki umeweka!! kama mapenzi ni yao kwan wao ni wa kwanza kupendana!!! BE CAREFULLY ZAMA!!!

Anonymous said...

hao ni malimbukeni wa mapenzi hawana lolote mapenzi ya kweli sio kila mahali unawaona kwenye magazet mablog picha kila mahali tena tofaut tofaut hata mastaa wa nje huwa hawajianiki hivyo. si wawe kama marlaw na besta jamanii walikuwa kiiimya mpaka ndoa ikafungwa kimyaa hakuna saut mpaka leo wamo kwenye ndoa yao kimyaa . hayo ndo mapenzi na wote ni wakali sio nyie vilimbukeni hebu mcheki mtoto besta alivyojaaliwa then mchek marlaw sio wema na makope ya babdia matatuu kama lihuni flani

Anonymous said...

Naona wengi wetu tunawaonea huruma hawa mataahira wawili diamond na wema. Mimi naionea huruma jamii yetu na mstakabala wake. Ikiwa wahuni kama diamond na malaya wagomvi ndio 'kioo cha jamii' basi tumuombe Mungu ainusuru jamii yetu. Jamaa aliyemnukuu shujaa Malcolm X hapa juu kanifurahisha sana. Nakumbuka kuwa Malcom X alikuwa akiwaongelea vijana weusi wa maghetto ya USA ambao walikuwa hawataki kufanya kazi na hawakutaka majukumu yoyote. Walichotaka ni kuvaa viatu 'sneakers' na kutembea kwa swagger. Malcolm X alitaka kuwaamsha kwa kuwaambia wasome na wafanye kazi badala y kuji-show off, ndipo aliposema 'showing off is a fool's idea of glory'. Haya majinga wema na diamond wanadhani wako 'cool' kwa ku-romance hadharani, kumbe ni wajinga wa mwisho ambao wanadhani eti kuji-show off ndiyo itawakuza.

Anonymous said...

Wadau mimi sishangai hata kidogo kwa ulimbukeni wa hawa mabwege Diamond na Wema. Kwa sababu sitarajii lolote la maana kutoka kwa mwanamke malaya anayegombana kila siku hadharani, mpaka kufikishwa mara nyingi mahakamani na jitu kama Diamond ambalo halikwenda shule wala haoni mbali zaidi ya pua yake.

Anonymous said...

Hawa hawafiki mbali. Wema anamtumia Diamond kuwatia wivu jamaa watatu waliotembea naye na kisha kumdampo Wema. Diamond kinachomsumbua ni kuwa hajawahi kuwa na demu aliyesoma zaidi ya darasa la saba, kwa hivyo anaona sasa amemaliza.

Anonymous said...

Unaweza kumtoa mwanamkw katika umalaya lakini huwezi kutoa umalaya ndani ya mwanamke malaya.

Anonymous said...

Kuna mzee mmoja wa busara alisema "Mwafrika akifanya bidii sana awe mzungu hatafanikiwa, sana sana ataishia kuwa Goa". Huyu pashkuna na emptyhead wake wanafikiri kuwa eti wamefika kumbe wamefikwa.

Anonymous said...

wema na diamond mumechemsha vibaya sana; pole mwaya.

Anonymous said...

Huyo mmoja pombe imemwathiri vibaya sana, huyo wa pili bangi imemdhuru. Tusiwalaumu. Wanahitaji kutibiwa Muhimbili.

Anonymous said...

hapo hamna mapenzi wala nini wanaona aibu tu kumwagana nafkir wema angepata mtu mwenye maadili na akili za kiutu uzima labda angetulia na kujiheshimu. hapo wanadhani wanawarusha roho mamen wa wema kumbe waaapi wanajidanganya wenyewe. ni kweli kabisa labda diamond alizoea kuchukua vinuka mikojo sasa hapo anaona kapanda fist class lol. angalia diamond ungeenda taratibu mbona ungepata msichana alotulia na mwenye maadili mbona wapo wengi wakali tu. angalia umejichukulia gumegume limekuwa jimama matatuu hayo mwee! kama umeliokota sijui wapi. anakudanganya huyo hamfiki mbali kamwe!

Anonymous said...

kione kwanza na makope yake ya bandia.hapo kila kitu cha bandia hata love ni ya bandia ni basi hajampata wa kumbeba tu coz hakuna anayemtaka ndo kinajidai kinapenda hapo hakuna DW. halafu waambie waache kujitangaza hovyo.

Anonymous said...

Hamna lolote, huyo Wema ni kicheche tu, alikuwa hapa Boston watu wamempitia sana, hajatulia huyo, sasa hivi watapigana chini tu.

Anonymous said...

Ndugu yangu Wema sikutakii mabaya. Nakutakia mema. Nakuomba tu muombe Mola akuongoze na ufuate maadili uliyofundishwa na wazazi wako na kwa rehema za Mola utafanikiwa. It's not too late coz you are still young. Please don't let men frustrate you. Tafuta mtu aliyetulia. All the best.

Anonymous said...

fake love is not true love there!

Anonymous said...

Zamaradi niliwahi kusikiliza interview yako na huyo mapepe Wema kuhusu kesi yake ya kumtishia kumuua Bob Junior wa Masharobaro studios. Wema alisema kuwa alimuomba msamaha Bob na kuwa kesi itakwisha kwa msamaha. Nakumbuka kabisa Wema saa zote alikuwa anataka kuongea Kiingereza na kujifanya eti anapata taabu kuongea Kiswahili mpaka ikafika hatua wewe Zamaradi ukamwambia Wema aongee Kiswahili ili wasikilizaji wengi zaidi wamuelewe. Hiyo ilinidhihirishia kuwa Wema ni mtu mmoja FEKI 100% kama Nokia za kichina! (lol!!!). Kila mtu katika familia ya Wema anaongea Kiswahili kizuri sana, pamoja na huyo Wema, kwa hivyo ilinishangaza kuona kuwa anajifanya kuwa eti kuwa sasa amekisahau Kiswahili!!! Mimi sina bifu yoyote na Wema, ila naamini kuwa imefikia hatua kuwa sasa anahitaji ushauri nasaha kwa faida yake mwenyewe kabla hajazidi kujiteketeza.

Anonymous said...

Ni kweli kuwa kuna wanaume kadhaa wamemsononesha Wema na kumfanya afanye mambo ya ajabu ambayo hayalingani na malezi yake. Naamini marafiki zake hawamsaidii kwa kutomwambia kuwa sasa amevuka mpaka wa uungwana.

Anonymous said...

wema na diamon wote ni mattahira shenzi type wasiowaheshimu wazazi wala ndugu zao

Anonymous said...

Da Wema, wazap sis? 1. Wewe ni msichana mzuri kwa hivyo hebu kuwa natural achana na hizo kope za bandia, nywele za bandia, amke-up kilo moja, etc. 2. Hebu tulia huenda ukapata mtu anayekufaa, yaani mwanamume mchapakazi, msomi, mwaminifu, muadilifu, mwenye upendo atakayekuongoza vizuri. 3. Achana na hawa ma-star uchwara ambao watakutumia kisha wataku-dump. 4. Wewe unadhani unamtumia Diamond kuwatia wivu kina K na wengine walioutumia mwili wako kisha wakakutelekeza, kumbe wao ndio wanaokutumia.

Anonymous said...

Wema tulisoma pamoja zamani, lakini lazima nikiri kuwa umetuangusha sana na unanisikitisha ulivyobadilika kila kitu yaani fake eyelashes fake hair fake love na kufanya uhuni wa kuidhalilisha familia ya Sepetu. Sisi sote hatujakamilika lakini jirekebishe kama alivyosema mchangiaji mmoja hapa juu. It's not too late.

Anonymous said...

Nawaheshimu wadau mnaompa Wema ushauri hapa. Hata hivyo, mimi naamini kuwa Wema anaweza kubadilika na kuwacha upashkuna kama yeye mwenyewe akiamua kuwa lazima abadilike sasa. Ni kama kumshauri mlevi au mbugia unga. Walevi na Wabugia unga hawaezi kubadilishwa na watu wengine, lazima kwanza wakubali kwamba wana tatizo halafu waamue kwamba lazima walitatue tatizo hilo. Kwa hivyo, lazima Wema atambue kuwa ana matatizo/ugonjwa siriaz kabla hajaanza kujibadilisha.

Anonymous said...

Yatazame majinga hayo. Hilooo hawana haya.

Anonymous said...

Ukichanganya umalaya na ujinga matokeo yake utapata upuuzi kama huu. Zama Natumai kuwa Wema akiamua kutoa picha za ngono live hutazichapisha hapa, vinginevyo tutakushtaki.

Anonymous said...

I like Malcolm X's quotation 'Showing off is a fool's idea of glory'. Ha ha ha how true and how sad though.

Anonymous said...

Wema na Diamond hamna haya wala adabu kabisa nyinyi walevi wavuta bangi na wabugia unga. Hizo picha zinaonyesha wazi kuwa wate wawili mlikuwa high. Hata wanyama wa porini wana haya kuliko nyinyi f*****rs!

Anonymous said...

Nyoo wala hamjapendeza. Kama Wema nia yako ilikuwa kuwatia wivu kina Kanumba an wenzake zaidi ya 10 waliokupitia basi umefeli vibaya sana, badala yake umewavunja mbavu na kuwafanya wazidi kukudharau mara 10.

Anonymous said...

wema kwa diamond hata hamumechi na ulivyojiachia umekuwa jimama kama unambemenda diamond lol

Anonymous said...

diamond hebu muheshimu mama yako mzazi!!!!huyo wema ana parasite kichwani heshima kwake neno la kirusi halitambui....diamond kaisikilize na kuangalia ule wimbo wa makmuga wa ali kiba.....yani huyo wema anakutia kivuli saa hivi watu watakuwa hawakuoni....showing off is fools idea of glory!!!

Anonymous said...

Wema plz kamuombe radhi mama yako mzazi maana najua hamuongei muda mrefu sana. Katika mila za kiafrika ukikosa radhi ya mama ndio umekwisha mwaya. Hata katika Uislamu na Ukristo tumeamrishwa kwaheshimu wazazi wetu wote. Fanya haraka usije ukazidi kuharibikiwa plz plz plz.

Anonymous said...

Afadhali hata wanyamapori wanajiheshimu kuliko haya mapunguani.

Anonymous said...

Hawa wote wawili wana issues zao nyingi sana si wema peke yake tu. Kwa tunaowajua wote wawili wema na diamond ni watu wa kuonewa huruma. Kutoa picha zao hadharani eti wana-romance hakuwasaidii kitu.

Anonymous said...

Question: What do you get when you put together a slut and a dumb ass? Answer: A pathetic woeful couple. Hii mapumbafu yote miwili Diamond na Wema ni mishenzi ya mwisho kabisa. Wanataka kumuonyesha nani kuwa wanapendana. Fake fake fake....ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Mi naona hizo picha zinaonyesha wote wawili walikuwa 'high' sana. Zama naomba muulize Wema alikuwa ametumia heroin, cocaine au mchanganyiko? Kwa kweli wanasikitisha kwa jinsi walivyowaabisha watu wa familia zao.

Anonymous said...

Wadau mnatarajia nini kutoka kwa mwanamke malaya kama wema na limbukeni zuzu kama diamond? Mi sitaraji kuona chochote cha maana kutoka kwa wajinga hao wawili. Na we Zamaradi si lazima utoe picha za kijinga kama hizi lazima uwafikirie ndugu na jamaa zao maana mtu unaumia kuona ndugu au mtoto wako anajianika kishenzi akiromance hadharani hata kama ni kahaba kama wema. Lazima uwajali jamaa na ndugu wa hawa wehu. Usije ukaishia kutoa picha za ngono hapa.

Anonymous said...

Wema alianza umepepe akapanda daraja akawa malaya sasa ameishia kuwa third rate porn star.

Anonymous said...

Zama hawa diamon na wema wote ni washenzi wakubwa sana natamani nipate round moja tu ya ngumi na ntamfundisha adabu kwa kudhalilisha wanawake wa tz. we wema mshenzi mkubwa sana. Kristina John (Kinondoni).

Anonymous said...

wema wewe ni kahaba mkubwa sana. kwa taarifa yako kahab ni malaya asiye na haya wala izaya.

Anonymous said...

Wema na Diamond wana-match kwa kuwa wote wawili ni washenzi.

Anonymous said...

hata kama hawajiheshimu basi walau wawaheshimu ndugu na jamaa zao.

Anonymous said...

Nyoooo tazama mapumbafu haya yalivyolewa bangi. Shame on you wema shame on you diamond.

Anonymous said...

Hayo ni mapenzi au mihadarati?

Anonymous said...

Jibu kwa anon wa 5:31 PM : Haya SI mapenzi, HII NI ATHARI YA MIHADARATI KUCHANGANYA NA BANGI NA POMBE. Wema my sister please jirekebishe you don't have to destroy yourself girl.

Susan Wamunza said...

Zama kila mtu kwenye hii Dunia ana stlye yake ya Mapenzi ninachopenda kumwambia Wema kama kweli ana uhakika Diamond anampenda kweli tena kwa dhati haina haja kuonesha mapenzi yao hadharani watu wapate kusema mana maneno yanaumba. Kama vipi waoane kudhirihisha True Love yako toka Moyoni sio mapicha hayana mana yoyote,sio mara ya kwanza kupiga picha za mapenzi,hata wapenzi wake wa zamani alipiga picha sasa yapo wapi.Tunataka NDOA sio picha.

Malick Abdulrahman Sure said...

Wema acha kurusha roho hayo ni mambo ya kizamani haina mana kabisa.

Anonymous said...

MUNGU BABA MJAALIE WEMA ATULIE APATE MUME BORA! THS IS TOO MUCH.MAMA MZAZI MSAMEHE HUYU MTU.SHE IS TOTALLY CONFUSED.

Anonymous said...

wats wrong na huyo wema jamani she is soo cute ila mambo yake as if anakurupuka tu ni hela zinamsumbua au nyege zimezid..simuelewi