Monday, July 11, 2011

MJENGONI LEO HII...

Ndio tulivyoianza jumatatu kinamna hiyo... Zamaradi Mjengoni leo!!!
Antu na Zamaradi

Kutoka kushoto ANTU ambae utampata soon kupitia Clouds TV, ZAMARADI pamoja na mama wa ng'aring'ari SAKINA WA LYOKA!!!
Babuu wa kitaa pamoja na Antu
Ceaser Daniel
Kama tulivyo hapo juu, Antu, zamaradi, sakina
With my girl Antu Mandoza...
Sakina Lyoka na Antu.. YANGA OYEEEEEEEEEEEEE
Hapo nikiwa na mamaa wa ng'aring'ari....

Hizo ndio picha za mjengoni jumatatu ya leo!!!

NIMEMALIZA!!!

3 comments:

Anonymous said...

dah kipendacho roho, nikikuona tu zamaradi huwa nasikia raha sana,sema ndiyo umeshawahiwa

Anonymous said...

zamaradi wewe ni mzuri sana napenda shape yako sana. mama sakina wa lyoka amerudi lol nlimmiss sana

Anonymous said...

naona leo umeamua kujishoooo kama dina marios tupe habari motomoto please we know you guys.