Wednesday, July 13, 2011

BREAKING NEWS: MBUNGE WA IGUNGA ROSTAM AZIZ AJIUZULU LEO.. WATU WAONESHA KUTOKUKUBALIANA NA KUPINGA MAAMUZI HAYO.

Mbunge wa Igunga na mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi NEC kupitia mkoa wa Tabora Rostam Aziz siku hii ya leo kwa ridhaa yake ametangaza kujiuzulu na kuachia ngazi katika nyadhifa zote alizokuwa nazo kama mjumbe wa Nec na Mbunge wa igunga,

Tamko hilo amelitoa siku hii ya leo majira ya saa tisa alasiri katika Ukumbi wa Sakao huko Igunga tabora...

Baada tu ya kutoa Tamko hilo wananchi waliokuwa eneo hilo walionekana kutoridhishwa kabisa na maamuzi hayo yaliyotolewa na kuonekana wazi kabisa wakipinga huku wakisema 'HATUTAKI" wakipinga uamuzi huo uliotolewa kwa kumtaka aendelee kuwepo kwenye nyadhifa hizo ambapo mbali na kuwa Mbunge pia alikuwa mjumbe wa NEC.


Rostam alikuwa ni mbunge wa IGUNGA kwa vipindi vinne mfululizo na alikuwa ni mjumbe wa NEC kwa Awamu tatu.

1 comment:

mama rich said...

zamaradi naomba nitoke nje ya mada, mimi sijapenda vile unavyotetea ujinga wa wacheza filamu wa kike ambao ni wahuni, naona unapingana sana na mwakifamba nimesikiliza mazungumzo yako na mwakifamba jamaa yuko right hataki ujinga katika jamii, achana na kitu unaita soko hulia ni ujinga wewe zamaradi najua unamtetea jacky acha upumbufu wewe bado ni mtoto mdogo una zile za kutetea ushoga kwa vitu kwa kijinga!!!!!!!!!!!!! pumbafu!!!!!!!!!!