Monday, July 11, 2011

KUTANA NA WATOTO WA SOLO THANG...

Huyo hapo juu ni mwanamziki wa siku nyingi Solo thang ambae alitamba kwenye nyimbo tofautitofauti kama vile MTAZAMO alioshirikiana na afande sele, KAMA UNATAKA DEMU ambayo alishirikiana na Jaymoe, MAMBO YA PWANI ambayo aliimba yeye mwenyewe na nyingine nyingi sana...


hajasikika kwa muda mrefu sana ila kwasasa yuko nje ya nchi ambapo ana familia yenye watoto wawili wazuri sana kama unavyowaona, na anastahili pongezi kwa hilo!!!


Hapa Solo thang akiwa na watoto wake wawili, wa kwanza ni huyo wa kiume anaitwa Yassir (4) na wa pili ni wa kike anaitwa Zaynab mwenye miaka miwili na nusu


Father and Son.. huyo ni mtoto wake wa kiume anaitwa YASSER
Na hiki ndio kifaa chake, mtoto wake wa kike anaitwa Zaynab, veery beautiful kwakweli!!!
Watoto wake kwenye picha ya pamoja!!!!
Mh!!! look at those eyes... aisee nafkiri picha inaeleza kilakitu... sooo CUTE!!!

Father and daughter!!!

kako so sweet...

Huyo ndio Solo thang na hayo ndio maisha yake kwasasa ambapo ni baba wa watoto wawili hao unaowaona hapo juu..


HONGERA SANA AISEE!!!!

7 comments:

Anonymous said...

naomba picha ya mama yao please watoto wako soo sweets.

Anonymous said...

wa kiume anafanana na msanii wa marekani John Legend. tupatie picha ya shemeji yetu pls.

Ald said...

Atakuwa mchina mama yao

Anonymous said...

yeah hivyo vijicho mchina mchina lol

Anonymous said...

very byuuuuutifooooo hongera sana kaka:)

Anonymous said...

kweli watoto wapo sweet wote hata baba yao solo nae mzuri

Anonymous said...

Jaman jaman, watoto wake wake so cute, jaman, yule wa kiume jaman mwambie kapata mkwe!an mwambie kapata mkwe!