Thursday, July 21, 2011

HONGERA DA SUZY (MARYAM)....

Tulimzoea kwa jina la Susan Baltazary (da Suzzy), lakini kwasasa anajulikana kama Maryam Baltazary ambae mwishoni mwa wiki alifunga ndoa na Eddy Ramadhan katika jiji la TANGA...
Hongera sana...

4 comments:

Anonymous said...

NAWATAKIA KILA LA HERI EDDY NA SUZY. MGOSI WA KAYA.

Anonymous said...

Pongezi bwana na bibi harusi. Ila lazima niseme ukweli kuwa huyo mpigapicha bado ni 'amateur' ambaye ameshindwa kutumia vizuri mwanga na angles za image.

Anonymous said...

Hongera ka Eddy na Suzy japo naona bro ulitusahau kutupa mwaliko. Kibibi.

Anonymous said...

ehheheh hongera wifi langu la ukweee jaman inshallah mungu akutangulie ktk ndoa yako ehheheheh...@..wifi lako kabwe eheheh lolz