Tuesday, February 23, 2010

NANI MKALI.....!!???

Kupitia 'Movie leo' ya Leo tena ndani ya clouds FM siku ya Jumatatu tuliweza kumpata msanii bora wa kike kwa mwaka 2009/2010 kwa maana ya aliefanya vizuri kwa mwaka jana.Na hii ilikuwa ni kupitia kura yako wewe mtazamaji wa Filamu za hapa kwetu Tanzania.
Mambo hayajaishia hapo turudi katika upande wa WANAUME, kwako wewe ni nani aliefunika kwa mwaka 2009 mpaka sasa tunavyoongea 2010. Tuma kura yako sasa humu ndani ama Sikiliza Movie leo ya leo tena kila siku Jumatatu hadi Ijumaa saa 10:45 asubuhi kwa maelezo zaidi.Tuma kwa e-mail address ya zammyt25@yahoo.com ama namba ya simu 0778 295551/0784 499547

Niambie NANI MKALI kati ya hawa wafuatao...?????Single Mtambalike 'Richie rich'Vincent kigosi 'RAY'
Yusuph Mlela 'ANGELO'Steven Kanumba 'KANUMBA'
Hemed Suleiman 'HEMED'
Mohammed Mwinkongi 'FRANK'Mahsein Awadh 'CHENI'Hajji Adam 'BABA HAJI'


Hao ni baadhi tu ya wasanii wa kiume, kuna wengi sana ,kazi kwako kuniambia mwaka jana ni nani 'ALISHINE' kuliko wengine katika Industry ya Flamu hapa tanzania.

NANI MKALI?

37 comments:

mujydebubyz said...

Kanumba Mkali

popobawa said...

ebwana nenda rudi paka poda osha ,funika funua,oga tokajasho ila mtumzima richie mtambalike a.k.a single anaetembea kwenye barabaa ya ndege,kuleeeeeeeeee juuu.

Anonymous said...

Kanumba mkali

From G

Anonymous said...

HAPO MKUBWA RAY NDIO NO 1.
MDAU:SAUDI ARABIA

Anonymous said...

mkali kivipi kwa kuiga wanaigeria(wapopo)au kwa poda,acting au cinema nzuri yenye maana inayo mgusa mbongo au mambo ya ofisi,magari na nyumba za kifahari na wanawake kipi kati ya hayo?tukuambie nani mkali

Jalala One said...

Kanumba yuko juu

Anonymous said...

ray jamaniiiii

Anonymous said...

MHH KWAKWELI MSEMO WA MDAU HAPO JUU KAMA NI KWA KUWAIGA WANAIGERIA KANUMBA NA RAY. ILA WA UKWELI HAPO NI HEMED YUPO JUU ILE MBAYA

Anonymous said...

HEMED

Anonymous said...

MKALI WA YOUTE HEMED

Anonymous said...

KANUMBA ZAIDI

Anonymous said...

kanumba ni zaidi ya wote hapo.

Anonymous said...

I LOVE KANUMBA,IS THE BEST AND SEXY.

Anonymous said...

anjeloooo!

Anonymous said...

sijaona zaidi ya kanumba jamani he si serious na hakurupuki bwn mdg huyo.

Anonymous said...

KANUMBA NAMPAKURA

Anonymous said...

kanumba mkali

Anonymous said...

kanumba he is the best

Anonymous said...

Kwangu Mimi namkubali Sana JB. Yuko Kiukweli zaidi na kingine ni kwamba ni baadhi wa waigizaji wa kiume "wasiojiremba" make up haimfanyi awe "fake" kama baadhi ya Waigizaji wa Kiume. Ni hayo tu

Anonymous said...

kura yangu kwa kanumba the great....

Anonymous said...

KANUMBA MATAWI YA JUUUUUUUUUUUUU

Anonymous said...

I LOVE STEVE KANUMBA THE GREAT.

Anonymous said...

No one lyk kanumba...is great.

Anonymous said...

MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI KANUMBA NI ZAIDI YA WOTE HAPO YUKO KIMATAIFA SHOSTI WEEEE ILA KWA NYINYI WATU WA CLOUDS MNAVYOMCHUKIA NAJUA MTAMPA MTU WENU..ACHENI CHUKI ZA KIJINGA SHOSTI WANGU WEEE KAMA MUNGU KAANDIKA IPO NI IPO TU.BIG UP KANUMBA THE GREAT

Anonymous said...

ni ka nu mbaaaa tu.

Anonymous said...

STEVEN KANUMBA

Anonymous said...

hapo ni kanumba mkali hao wengine hatuwajui huku ulaya inabidi wajitangaze kama kanumba.

Anonymous said...

Kanumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa juu ila apunguze aibu kama demu.

Anonymous said...

kanumba steven is the best of the best

Anonymous said...

i dont like AIBU zake mbele za watu kama Jinga but kanumba mkali bwana.

Anonymous said...

kanumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

kingsley said...

Kwa watu wanaojua kuangalia viwango vya wasanii Single richie Yuko juu kuliko wote he is more proffessional bwana hao wengine ni wachekeshaji tu katika list uliyotoa.

Anonymous said...

hamna mkali hapo, wote washamba tu,wajifunze zaidi ili watoe vitu vya maana au la sivyo sinema zao zitaishia kuangaliwa na wakina mama wa uswahilini ambao ni kamwa wao tu. wote ni mbumbumbu lakini mbumbumbu zaidi ni ray kigosi anayejichubua kama bar maid. kanumba naona anajirekebisha taratibu, ambayo ni habari njema ila bado hajafika... inabidi akaze buti.

Anonymous said...

mmh,Ray umejipodoa kama binti!

PAULINE said...

Kanumba ni mkali akifwatiliwa na kigosi

Anonymous said...

richie ndo mpango mzima,huyo kanumba amezidi sana ku-copy na ku-paste

raymond said...

richie yupo juu hao wengine wanangoja(100%),Baba Haji nae wa ukweli (90%),Hemed nae yuko juu ila mashauzi yake yanamponza(85%),Dr Cheni anajitahidi(80%),Angeloo endelea kukaza utafika level nyingine(70%),KANUMBA KWA KU-COPY ANA 100% ILA NDANI YA SHINDANO NAMPA 50%,RAY NAWE CHUKUA 50%(RAY NA KANUMBA wametangulia kutoka kwenye hii industry ya filamu ndo mana majina yao yapo sana midomoni kwa wa2,ila hawapo kivile sana. NI HAYO TU