Nilitoa baadhi ya picha za waigizaji wa kiume,na hawa ni wengine.. kazi kwako kuniambia kwa mwaka 2009 nani alifunika zaidi ya wenzake kwa upande wa wanaume. kwa maana ya aliefanya kazi nzuri kwa mwaka huo zaidi ya wenzake. Tuma kura yako uniambie NANI MKALI.
Mohammed Nurdin 'CHEKBUDI'
Issa Musa 'CLAUDE'
Deogratious shija 'SHIJA'
Jacob Steven 'JB'
Lumole Matovolwa 'BIGGIE'
Juma Kilowoko 'SAJUKI' hapo akiwa na mkewe ambae ni mwanafilamu pia.
Endelea kutuma kura yako humu ndani uniambie nani alikamua kwa mwaka 2009 na haitakuwa vibaya ukiniambia kupitia filamu/kazi zipi pia.
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
7 comments:
JB yuko juu, mh mamy na CLAUD naye mkaliiii
hahahahahahaha
kaazi kweli kweli.
disminder.
Dada Zamaradi, waigizaji bora hawatafutwi kwa njia hiyo dada. Wamekuwa bora kwa filamu zipi? You have to mention filamu gani ulizoziteua na umeziteua kwa vigezo vipi iili ziwaingize kwenye kuwania uigizaji bora. Muigizaji mmoja anaweza kuwa bora kwenye filamu hii na akawa siyo nora kwenye filamu nyingine.
Nyie ndiyo wadau wengine mnaoua game la filamu Tanzania.
Tubadilikeni, tusikurupukie mambo? Kama hujui uliza kwanza.
Mimi namzimia Babu Mkombe wa FUTUHI. Nadhani amefanya vizuri sana kama msanii wa kiume mwaka jana.
dada mbona habari ndo hizo hizo kilasiku?jitahidi uapudate au vp.
kiukweli mdau wa hapo mwanzo kaongea, untakiwa kuwa specific dada, filamu ziwepo ambazo umeteua, na vigezo hii itakuwa hata rahisi kw mtu kutoa maoni bila bias.
otherwise watu watakuwa wanakupa majibu ambayo hukuyahitaji kama maswala ya futuhi nk.
then kuna wasanii wengi chipukizi ambao pia hukuwaweka hapo, umaarufu sio kufanya vizuri dada, ila miwsho wa yote kati ya hao at least SAJUKI kafanya vizuri.
Hapa waıgızajı wazurı nı Jb na Chekıbudı tu Tanzanıa, sına haja ya kupıga kura mana wengı watasema Kanumba mana mahousegıl wote ndo wanaemjua!! but nampa bıgup ana moyo wa kusonga na uthubutu! but Tanzanıa waıgızajı wa kwelı nı hao nlowataja! angalıa fılamu ya Mkasa utajua naongea nn kuhusu Chekıbudı sıhıtajı kuona fılamu mıa kujua muıgızajı bora! Jb as usual.
By the way hıyo pıcha hapo juu huyo Kanumba naanza kuhısı kaweka kama vıle anavıvuta ıvo vıtoto sasa kwa watu tulıompenda Mıchael na hatukuamını kama alıtenda ıvo vıtendo we wıl b so negatıve to hım kwa kwelı labda ıwe kama ulıvoıweka wewe zam but ıt ıs agaınst the pıcture sı kuwapenda wtt!!!!! ı doubt so much upeo wa Kanumba!
Post a Comment