Wednesday, August 25, 2010

ILIVYOKUWA KWENYE LAUNCH YA KIPINDI CHANGU (TAKE ONE)

Jana ilikuwa ni uzinduzi wa kipindi changu kinachohusiana na mambo ya filamu cha hapa CLOUDS TV kitakachorushwa kila siku ya JUMANNE saa tatu usiku, hapo ni mimi ZAMARADI MKETEMA nikiwa na EPHRAIM KIBONDE akiniuliza machache kuhusiana na kipindi.
Nikiwa na BEN KINYAIYA
Nikiwa na YVONE CHERRYL (MONALISA)
Bosi wangu RUGE MUTAHABA kushoto akiwa na EPHRAIM KIBONDE
Kutoka kushoto SHAFII DAUDA, ZAMARADI MKETEMA pamoja na PAUL JAMES ambao wanaendesha kipindi cha michezo ndani ya CLOUDS TV.
ALI DAX mwenye mic akimhoji mmoja kati ya madirector wa filamu Tanzania WILLIAM J. MTITU
Kutoka kushoto JACKLINE WOLPER, ZAMARADI MKETEMA, ROSE NDAUKA, AUNT EZEKIEL na MAYASA MRISHO (MAYA)
BEN KINYAIYA akiwa na ABDALLAH MRISHO kutoka GLOBAL PUBLISHERS wakifatilia kwa makini kipidi cha TAKE ONE.
DAXX akihoji baadhi ya wageni hapo kuna MZEE MAGALI pamoja na HASHIM KAMBI.
Kutoka kushoto jina limenitoka kidogo, kulia ni DUDE wakiteta jambo kidogo
Nikiwa na warembo ndani ya HIJAB
Baada ya kipindi ABDALLAH MRISHO akisalimiana na wadau..
Hapa mzozo ilikuwa ni viwanja vya MKURANGA, baadhi ya wasanii wakijadili jambo hilo hapo kuna SINGLE MTAMBALIKE(RICHIE), NOVA pamoja na baadhi ya wasanii wengine
Wakijiachia na kuangalia KIPINDI KINAVYOENDELEA, it was really fun.. CLAUDE akiwa na mkewe, PAUL ISANGI pamoja na ADAM KUAMBIANA..
JACOB STEVEN (JB), SELLES MAPUNDA pamoja na wadada wakionekana kufurahia jambo fulani..
WAKUVANGA akiwa na MR. MWAULANGA!!!

kutoka kushoto FETTY kutoka CLOUDS FM, KAYANDA, MCHOMVU na DINA MARIOS...

SHUKRANI SANA KWA WOTE TULIOWEZA KUWA PAMOJA SIKU YA JANA NA HATA KWA WALE AMBAO HATUKUWA PAMOJA LAKINI TUKAWEZA KUSHIRIKIANA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE, WALIOWEZA KUTAZAMA KIPINDI NA WALE WOTE WALIONISUPPORT KWA NJIA MOJA AMA NYINGINE, ASANTENI SANA SANA.. MUCH LOVE & RESPECT!!
TUKO PAMOJA!!!

35 comments:

sophia mkumbo said...

kipindi bombaaa sana ila nawaonea huruma channel flani hv ya tv maana nahisi watakosa watazamaji.

Anonymous said...

jitaidi kuwa creative more than hapo coz joyce kiria atasema umeiga kwake mami coz vitu vingi ni kama vya kwenye kipindi chake. but ni nzuri umejitaidi keep it up mpnz. jullie. ir pia jitaidi kuwa unapitia comments za watu unasoma sawa mpnz

Anonymous said...

Keep it up. Unafanya vizuri lakini kama alivyosema mdau wa pili hapa juu jaribu kuwa mbunifu kila siku zikenda ili uwekw alama yako ya ufanisi. Kila la heri. H.

Anonymous said...

Sio kama kuiga bongo movie ya joyce kiria mi naona umecopy kila kitu na sijaona mark "identity "yako _ dont plagiarize

Anonymous said...

Zamaradi is really cool..

Anonymous said...

hivi zamaradi hiyo picha kwenye front page ya blog ndio unaiona nzuri kushinda zote kweli????? don't you have samthing more sexy kweli!!!?????????????? mhhhh mi nimeichoka naona its getting monotonous.

Anonymous said...

Upo juu Zanaradi

Anonymous said...

hi Zamarad
we need your support by posting this link on your precious Blog

http://www.facebook.com/home.php?#!/event.php?eid=145896502108950&ref=mf

Anonymous said...

i like ur program its kul and u also knw how kutangaza na hauna mashauzi like tht diva gal....she says tht she is ur friend hw cn u stand her attitude she rilly pissd me of

Anonymous said...

wish i could watch the how down here wonder wher l get it...Go Zama..dont forget to pass by laprincessaworld.blogspot.com

Anonymous said...

Bi Zamaradi, Mbona kimya? Itakuwa vyema uki-update blog hii mara kwa mara licha ya kuwa uko 'busy'. Sisi washabiki wako hatuchoki kuona picha zako. All the best. AA.

Anonymous said...

Mi nina kitu tofauti kidogo,mara nyingi unapotembelea blog ya Ray unamkuta anamsifia sana Irene uwoya mpaka anaboa yaani as if hakuna msanii mwingine wa kike,mpaka watu wanamuonya kwamba asisifie sana kwani yule ni mke wa mtu,kama utaweza zungumzia hilo kwenye kipindi na umuhoji kisa cha kumsifia kila mara mke wa mwenzie mpaka watu wanaweka wasiwasi.watu wanaotembelea blog yake mara kwa mara ni mashahidi.

Anonymous said...

Bi Mdogo, mbona hu-update blogu hii? Sisi wapenzi wako tunataka updates japo mara moja kwa wiki. Love.

Anonymous said...

Fanya mpango wa kutubadilishia picha basi au ndo umeishiwa?

Anonymous said...

naona kazi ya kuendeleza blog umeshindwa,kama vipi ifunge basi tujue moja!maana hakuna habari mpya karibu mwezi sasa.mdau wa blog yako RUSSIA'

Anonymous said...

honestly hii blog ina niboa I promise never to come back yaaani mwezi mzima huaupload kitu

Anonymous said...

mdada mbona hauna jipya kwenye blog yako? weka mambo tuyaone au uko busy?

Amina Zangira said...

mamy mambo mbona ujapost vitu vipya au ndio bizzysana na take one jitahidi usikae kimya sana kijiwe kitalala doroooooooo.

Amina Zangira

Amina Zangira said...

mamy mambo mbona ujapost vitu vipya au ndio bizzysana na take one jitahidi usikae kimya sana kijiwe kitalala doroooooooo.

Amina Zangira

Amina Zangira said...

mamy mambo mbona ujapost vitu vipya au ndio bizzysana na take one jitahidi usikae kimya sana kijiwe kitalala doroooooooo.

Amina Zangira

Amina Zangira said...

mamy mambo mbona ujapost vitu vipya au ndio bizzysana na take one jitahidi usikae kimya sana kijiwe kitalala doroooooooo.

Amina Zangira

Anonymous said...

kama umeshindwa fung blog hatuoni picha wala nini

priss said...

zamaradi vp since 25aug hamna jipya.you are not serious

priss said...

zamaradi you are not serious since 25 aug hamna kitu

Anonymous said...

kama blog imekushinda si ufunge? tumekuchoka na hilo dela lako kila ukifungua ah!

Anonymous said...

kipind kizuri sana,ila bakground ya pale unapotangazia kama kuna giza kwanini pasiwe na mwanga na atleast ukasimama marachache na yale maswali ya mtu kati umuulize live sasa asiyejua kusoma hawez kupata connection ya swali najibu,ia lace wig vipindi 4 mfululizo . pia kwenye hii blog yako hujaapdate matukio mbalimbali tangu july,fanya kama jaydee kila wiki mambo mapya sasa wewe kila tukifungua bado story ya uzinduz ya wa take one.all in all kipind kizur wanaosema umemuiga mtu wapotezee kaza buti

Anonymous said...

Nimependa sana sana walivyovaa mahijab na maibaibui,yaani,wamependeza sana!Wote si akina Wolper tu bali hata Dina na mwenzakw mwingine hapo...

Anonymous said...

sasa wewe zamaradi unatuangusha hii blog umeiweka kwa kuigiza au vp maana hauna updates zozote...kma vipi idelete ili usitusumbue

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

tupe tukio lingine hii tumeichoka we vp hutembei?????????????? basi fungaga basi hii blog

Anonymous said...

Bibie vp mbona huna mpya toka august??????? twahitaji updates

Anonymous said...

what happen to you zama it seems u dont even look to your blog anymo coz u didnt even update anycing as i can see since ramadhani b4 iddy u didnt even bother to look on it.is it your too busy?u can put even photo for yuor show or anything as a discussion to impress people who visit your blog.as i know u fighit a lot for where u are now dont gave up do it as u start.I like u dont let us down.

Anonymous said...

Hebu funga mblog wako hakuna jipya kila siku ni weweeeeeeeeeeeee tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

emu-three said...

Nami nakupa tanoo kwa kipindi hiki. tupo pamoja

emalky said...

Labda niulize tu swali la busara mana naona yote yameshasemwa na wenzangu, kwani lengo hasa la kuanzisha hi blog ni nini?