Monday, August 16, 2010

KATIKA HARAKATI ZA KUTAFUTA VIWANJA WEEKEND HII

Hapa ilikuwa ILALA tayari kwa safari ya Mkuranga, kutoka kushoto IRENE PAUL, DINA MARIOS, SAKINA LIOKA, GEAH HABIB, JACKLINE WOLPER pamoja na MILLARD AYO mwenye t-shirt nyekundu.
Safari ilianzia hapo
Tukiwa tumefika,kutoka kushoto THT dancer, SHADEIYA, ADAM MCHOMVU nyuma, SOPHIA KESSY, mdadaa, JACKLINE WOLPER pamoja na ZAMARADI MKETEMA (mimi mwenye mtandio wa blue)
Tukiwa kijijini, Mwalim Twalib akitupa maelekezo ya kijiji hiko.
Millard Ayo na Zamaradi Mketema
Lazaro Matarange mwenye nyekundu pamoja na Antonio Nugaz
Tukisubiria hivyo viwanja
Mwanakijiji ADAM MCHOMVU

9 comments:

La Princessa said...

you all look real good, lov your blog! dont forget to pass by drop some love

laprincessaworld.blogspot.com

Tausi said...

Welcome back sakina lioka. nimefurahi kweli kukuona ni mtangazaji ninae kuzimia ile mbaya. zamaradi fanya mahojiano na sakina lioka nataka kujua kuhusu yeye, please. halafu naomba nikukukumbushe uliwahi kutuuliza humu tunapenda kujua kuhusu nani? tukakuandikia majina, ahadi ni deni mamii.

Anonymous said...

Hongereni kwa hatua na mawazo mazuri ya kuwa na viwanja,lakini muwe makini kuna NGO na watu zinatapeli watu kwa kudai watawapa viwanja na mashamba Rufiji na Mkuranga kumbe ni mashamba ya wenyeji na hawakuridhia kuyatoa,wengi wameingia hasara hasa kupitia NGO inaitwa TREDET an RUDIDEA....just a warning

Anonymous said...

mie sijaelewa mntafuta viwanja vya kujenga makazi au viwanja vya nini?

Anonymous said...

Zamaradi nimependa picha ulopiga na Millard mmependeza, I wish ningekuwa mie ndio wewe nipate japo hako ka kumbato nampenda sana Millard awe mpenzi wangu lakini sijui hata pa kuanzia.

Observer said...

Yah, hata mimi kidogo nakuwa kama sielewi elewi vile. Hivyo viwanja ni vya kazi gani au ni vitu gani unavyojaribu kuelezea, unaweza ukatoa ufafanuzi zaidi ?

Maana kama ni viwanja vya kununua ili mjenge nyumba sidhani kama vinatafutwa kwa modality hiyo mliyoitumia. Muwe makini sana endapo kutakuwa na mahusiano ya kutoa hela kumpa mtu flani kwenye hilo zoezi lenu.

All the best !

The Trouble Maker said...

Kudadadeki hilo ni changa la macho bi shosti. but all in all nimekubali jitihada zako dada keep it up!

Anonymous said...

Hongereni sana, ila ni viwanja vya kujenga au????

Anonymous said...

ebwanaeeee!!!111111 hiyo ime2lia kinoma, brada Adam ameuza ile kinoma. One love