Monday, June 13, 2011

ILIVYOKUWA KWENYE BIRTHDAY YA SINTAH...

Hii ilikuwa ni siku ya jumamosi pale SAVANNAH LOUNGE Quality plaza ambapo kulikuwa na birthday party ya sintah kama unavyomuona hapo akizima mishumaa kadhaa iliyowekwa kwa ajili yake..
Niliipenda hii Cake kwakweli, ilikuwa ya ukweli sana.. the colour, the decoration, and even the taste.. was soo sweet!!!
Kutoka kushoto Zamaradi, Birthday girl Sintah pamoja na Millard Ayo..
Nikiwa na Sauda Mwilima ambae ndie alikuwa MC wa shughuli nzima.,.
Mimi nikiwa na Birthday girl hapo..
Hapa hata hatujajipanga kwa picha jamani..
haya sasa camera roll.. Action.. saafi.. hapo nikiwa na Aunt Ezekiel ambapo mchana wake tulikuwa kwenye Audition pale Leaders kwenye serengeti Fiesta Filamu!!
Penny akiwa na Aunt Ezekiel
Pozi..
wadau wengi walikuwepo, hapo nikiwa na Sajent
Hii picha pamoja na baadhi ya nyingine unazoziona humu nimechukua kwenye Blog ya shamim zeze maana camera yangu siku hiyo ilifanya kazi sana kwenye serengeti fiesta filamu DAR mchana wake kiasi kwamba mpaka kufika muda huo Charge ilikuwa imeisha kabisa hivyo ikabidi nitumie simu tu kupigia picha, so kama quality ya picha nyingine sio nzuri mtanisamehe..
Belina kama unavyomuona..
Shamim akiwa na Sintah
Birthday girl Christina manongi a.k.a Sintah
Sauda Mwilima... MC wa shughuli
Jacky.. nilichogundua ni kwamba wadada wengi siku hiyo walitupia viatu na clutch za red ukianzia na huyu wa hapa juu(jacky), sauda mwilima, Belina, kuna mwingine sikufanikiwa kupata picha yake na hata mimi huko juu!!!
Mduara kama kazi... watu walienjoy sana na kila kitu kilienda sawa.. may GOD bless you sintah, live long and Happy belated birthday!!!

46 comments:

Anonymous said...

mwambieni sauda hajapendeza huo uso unatisha,kajichubua au kajichuna????

Anonymous said...

zama ivo viatu vyako na kipochi basi sasa man utawekwa alama

Anonymous said...

jamani zamaradi ndio nini kumuweka mwenzio hiyo picha na mapouda kama jini! MC wa shughuli kiboko kwa kweli, umetishaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Hongera Sinta,
Mhh jamni sijawah kumuona Sauda Mwilima akiwa kapendeza. Huyu dada anashida gani?? kha! na huo mkorogo haoni aibuu anavyotisha?

Zamaradi muwe mnamwambia kuwa kachekesha, labda siku nyingine atajitahid, mwe!

Anonymous said...

Wadau sauda make uos hajuagi kupaka yani km anajimiminia huo usoni kuvaa ndo mshamba haifai jamani hivi huyu kabila gani????? mana sio mara moja moja ni karibu kila siku anachemka. Zama narudia tena ivo viatu na kipochi YATOSHA SASA km huna vingine

Anonymous said...

sauda kwako huna kiooo hiyo mijipoouwda cjui faundatioon lol naona kikopo kilikwishaaa.

Miss Kira said...

Mh jaman sauda no no no the make-up is horrible at nguo...honestly, sauda nimemuona kwenye picz nyingi ata live pia hajawahi pendeza kuanzia make-up hadi clothes!Girl u surely need a stylist!!Hope ujumbe utamfikia

sara said...

hahaha..Sauda Mwilima kwani nyumbani kwake hakuna kioo au umeme unamkatikiaga akiwa anapaka make up..mbona hivi..??hahahaha

Anonymous said...

Just a small comment regarding make-up one day i guess you should talk about makeup that pple wear dont match at all with their skin tone this needs more attention...

Thx and stay blessed!!

Anonymous said...

jamani hebu mwambieni huyo mc anatisha khaa mkorogo wa nini hawaoni ngozi yako ilivyo na afya?ukiangalia hapo wengi weupe wanajikoroga

Anonymous said...

huyo sauda kazidisha podari yaani kawa kama mzuka,kwani hakuwa na kioo jaman au mtu wakumshauri???mweee amechusha vibaya sana

Anonymous said...

aagriiiiiiiiiiii MC ametisha,yaani mtoto wangu akilia nitamwosha hii picha,lazima anyamaze bila kupenda coz hii picha inatisha.
Mmmmh sauda next tym uombea ushauri kwa shoga yako mai kabla hujatoka coz hiyo podari imezidi mno.

Anonymous said...

Jamani Sinta mzuri hachuji
Yaani huyu sauda mwilima kama jini nani kamwambia akijicream hivyo anapendeza..................
Anatia kinyaa jamani
Hata huyo mwanaume wake atakuwa mswahili, mwanaume gani anakubali mtu anakuwa kama shetani
Kiukweli zama hujapendeza umechemka

Anonymous said...

jamani hizo picha za sauda mbona sio nzuri au ndo vipodozi vimamharibu hivyooooo?

Anonymous said...

Zamaradi ww ni mzuri tena unapendeza sana na natural colour yako,pamoja na aunt ezekielanila hao wengine jamani mikorogo inawatisha yaani kama sauda ni mbayaaaa sana huyo dada sijui hajioni,yaani bora angekua anavaaga nguo ndefu,mshaurini jamani

Anonymous said...

wadada nguo hizo ni fupi mno, yaani bado kukaa uchi tu. jiheshimuni kidogo mnakuwa kama mmeenda kujiuza. bora hata zama kajistiri loo! hamjapendeza.

Anonymous said...

sauda hajuagi kuvaa na make-up kwa ujumla

Anonymous said...

mlikuwa mnajiuza au ni birthday? mbona mapaja njenje? jiheshimuni kidogo jamani khaa! bora zama kajistiri.

Anonymous said...

vinguo gani hivyo. acheni mambo ya kipumbavu, mlikwenda savanna kujiuza.

Anonymous said...

zamaradi umezoeleka mno na hiyo style kha" hebu tushangaze kigogo. sauda sauda sauda uhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Anonymous said...

Kama Mnampenda sana sauda kwenye shughuli zenu aje msiwe mnampiga picha basi, maana mnamzalilisha hua apendezi na sijawai kumuona kapendeza.au mnamfurahia hua anawachekesha kwa uvaaji wake kama joti anaigiza.

Anonymous said...

yah zamaradi badili style sasa you look the same kila siku hot pants kama opa hujapendeza kabisa

Anonymous said...

We unaesema vinguo vifupi wanajiuza! nataka nikujibu kuwa ndio wanajiuza na wanamuuzia mumeooo kila kukicha anachachawa na hivyo vimini vyaooo ...upo hapo!? watu wasivae nguo fupi wapendeze mdomojuuu tuuu waache wadada wawatu wanaenda na wakati.... katafute kabichi uchemshe ule ulale kama huna kazi...... Msonyooooooooooo

Na wewe sauda hivi kwako hauna kioo cha kujitazama kama uko sawa? ni mambo gani unayofanya...yaani kila iventi unatisha na mamakeup na mavazi jijali wewe ni celebrity tunaitaji kujifunza mambo mengi toka kwako mzxcsziiiiiiiiiu

Anonymous said...

si mchezo sauda kaa chini utulie na uombe ushauri kuanzia mavazi hadi uso .pia kama unamtoko bora uende saloon wakufanyie makeup maana hujui kujiremba. yaani kila mtu amekusema wewe tu huoni kama ni tatizo?pls try 2 change

Anonymous said...

huyo sauda ni mbishi mwacheni azidi kutisha hivo hivo. mi ana niudhi kama nini analeta mambo yake ya kishamba.

Anonymous said...

mmhuu!mie cna neno washasema wadau,yafanyie kazi sau

Anonymous said...

hahahahhahaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Mimi sijawahi kumuona sauda amependeza labda macho yangu yana makengeza hata akiwa anatangaza hicho kipindi chake cha bongo beat yuko hivyo hivyo bora liende, huo mkologo hana tofauti na albino wewe ukienda kwenu sumbawanga lazima uchunwe ngozi, kwani sauda ukifuata ushauri wa watu kuna tatizo gani

Anonymous said...

Sauda utadhani umevaa mask usoni. Yaani hata mume wangu uwa anakushangaa akikuona kwenye TV anasema huyu dada amekaa kishamba. Change mamito sidhani kama wewe ni mshamba ila hutaki kujifunza.

Anonymous said...

yaani huyo sauda hajui make up hajui umbo lake linapendeza akivaa nguo gani!khsu mkorogo c mnawaona shoga zke didah wa mchops na maimartha?labda hataki kuacha kumpa support shoga yake (mai)si ndio muuza mikorogo?yaani anatisha km kinyago chakutishia watoto khaaa mshamba kila siku hapendezi ushoga gani huo hata hawaambiani ukweli jamani lkn

Anonymous said...

huyo sauda ngozi zote kazimaliza kwa kujichuna weupe sio uzuri zama huyo hapo ana rangi nzuriii kakaaa kama malaya mcafu au shangingi vile looo

Anonymous said...

Jamani sinta nae ninini?alikuwaga mzuri sasa sijui nani kamdanganya weupe ndio uzuri.kha

Anonymous said...

Jamani mineno mingii....sauda hapendi kupendeza sasa mbona mnamlazimisha??!!!mwacheniii

Anonymous said...

Mdogo wangu Zamaradi jamani chonde naomba usije ukabadilisha rangi ya ngozi yako, ni nzuri na inavutia sana. Hivi hawa wasichana wa siku hizi nani kawaambia weupe ndio uzuri??? Naona hapa nyote mnamsema Sauda je huyo Sinta? Sinta alikuwa na rangi nzuri sana, kama sijakosea rangi yake ilikuwa sawa na Zamaradi ulivyo sasa, mnakumbuka ile video aliyoimba na mwanamuziki wa Msondo, Wimbo unaitwa Safari. Sinta ile rangi yako maji ya kunde ilikuwa ni nzuri sana, mie naona hii rangi uliyonayo sasa sio nzuri hata kidogo.

Anonymous said...

Kwa maoni yangu mimi, (1)kujichubua ngozi ni dhambi. Tuachane na kasumba hiyo ambayo inatudhalilisha na ambayo ni hatari kwa afya. (2) Kuonyesha mapaja hadharani pia ni kujidhalilisha kwa kuwa kaka, baba, wajomba au wakwe zenu wanaweza kuziona hizi picha. Jisitirini jamani. Kama ni uzungu tuige mazuri kutoka Ulaya kama vile uchapakazi, kuheshimu sheria, kuheshimu muda na wakati, usafi wa mazingira na mengine mengi mazuri lakini sio kuwaiga wahuni.

Anonymous said...

honestly SAUDA NA SAJENT mmeharibika na hizo chemicals mnazotumia, yaani mngejua athari zake msingetumia, hiyo ni mecury inapenya kwenye damu inaua chembe chembe nyekundu pamoja na kinga zote za mwili matokeo yake unakuwa kama walivyo hao kwasasa kiukweli mnahatari ya kuumwa FIGO, INI, KISUKARI,CANCER YA NGOZI KWA 100% na mtu anaetumia vipodozi vya aina hiyo mwili wake cku zote huwa dhaifu dhaifu ni kama karatasi, na asiombe akapata ajali akachanika ndio basi tena kwakuwa hataweza kushonwa. hebu badilikeni na mumtukuze MUNGU kwa ngozi aliyowapa. sisi weusi Mungu ametupendelea ametupa ngozi ambayo inazuia magonjwa hata upigwe na jua huwezi kuungua.lakini sauda anatamani jua lisingekuwepo kwake ni kero. badilika la sivyo baada ya miaka mitano kama unaendelea hivi utakuwa ugonjwa mmoja wapo kati ya hayo nilioyataja. MTANZANIA HALISI

Anonymous said...

anti ezekiel nakuaminia sana ktka suala zima la kuvaa na make up ila leo ktk makeup umeniangusha, hiyo eye shedow yako ni ya kichina imesambaa vbaya vbaya. iache. zama unapendeza sana ila mitumba ulitupia leo looh grade "0" Haujapendeza kwaleo wewe na anti mmeniangusha. natumain next time mtakuwa vzuri. sauda huyo tumuache yeye mwenyewe amejichoka maskini, sura kama karatasi hata duniani hayupo ahera hayupo yaani ana hang tu hahaaaaa.hivi ana boyfriend? yaani kama ndio kaka yangu ananiletea sauda ndio wifi uwiiiii nitamtimuaje, kama kinyago.mwambieni jamani hapendezi hata.

Anonymous said...

Dina mbona Aunt Ezekiel amekaa katika POZI ya tigo?

Anonymous said...

Sauda kabla hujaanza kujichubua ulikuwa msichana mzuri sana. Sasa nani kakudanganya mpaka ukaanza kujiharibu? Hebu jaribu kurudi ulivyokuwa mwanzo uone tofauti iliyoko.

Anonymous said...

was nyc but mh huyo mwanadada sauda cjamuelewa uson ndo nn du bad yan aache hayo mambo too much mek up................shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Anonymous said...

Honestly tokea nianze kumuona sauda sijawahi kumuona kapendeza nadhani mwili wake haukubali mavazi labda abadilishe aanze kuvaa vitenge....yahi siku zote anaonekana as if kaja jana mjini she never change...sasa that sura ndio usiseme maana uso na shingo rangi mbili tofauti utafikiri zile dawa za rangi mbili...usista duu doest suit you sauda lol

Anonymous said...

Ni kweli kuwa miaka 6 au 7 iliyopita Sauda alikuwa mzuri sana - kwa wale tuliomjua enzi hizo - lakini hii miaka mitano ya karibuni amebadilika sana. Naamini uchubuaji ngozi aua mkorogo kwa jina lingine umemwathiri. Kila binadamu lazima aikubali na kujivunia rangi aliyopewa na Muumba wetu na tukijitazama tuseme AlhamduliLlahi au Aleluyah au ashee engai. Mr Mmasai.

Anonymous said...

SAUDA ANAJISHAUAGA ILA HANA NYOTA YA USTAAAA MUONE KAJICHUBUA KM MBALAMWEZI OVYOO SURA YENYEWE MBAYA AMAKWELI KM NA WEWE UNAMWANAUME ANAFATA TU HICHO KINANII ILA UNATIA KINYAAA

Anonymous said...

Swali: Hiyo picha ya mwisho inaashiria nini? Jibu: Fashion mapaja au mtindo nusu uchi, ha ha ha ha ha ..........

Anonymous said...

hUYO SAUDA MKULIMA YUKO KAMA JINI MAHABA, SURA YENYEWE NZITO KAMA YANGU MIGUU NAYO MMMMMMHHHHH NA HIZO HIPS ZA MIKONO BALAAA TUPU, SAUDA HUPENDEZI HATA KIDOGO HATA UFANYEJE BORA UNGEBAKI NA RANGI YAKO, LABDA HAYO MASHAVU YASINGE ONEKANA

Anonymous said...

Mdau wa 4:43 PM, Picha ya mwisho inaashiria mashindano ya "Miss Mapaja Mabaya 2011". Na hiyo ngoma wanayocheza inaitwa "Anika mapaja".