Tuesday, June 14, 2011

PICHA YA LEO... ZAMA na CEASER!!!

Mimi nikiwa na Ceaser Daniel ambae anapatikana hapahapa CLOUDS TV kupitia kipindi cha BONGO ACCESS kila siku za jumanne baada ya Take one...
Zamaradi Mketema na Ceaser Daniel.. Usikose kuangalia TAKE ONE siku hii ya leo TATU kamili Usiku kupitia CLOUDS TV na baada ya hapo Bongo Access na Caeser.. usikose!!!

Hiyo ndio picha ya leo!!!!

6 comments:

Anonymous said...

mmetoka bomba,ila mshkaji kama anaanza kutengeneza kitambi hivi,bt mko fresh

Anonymous said...

hiyo style ya nywele imekutoa bomba

Anonymous said...

kweli hiyo style ya short hair inampendeza!you two look good together(km mtu na mpenzi wake)mmwahhh

Anonymous said...

u look beautiful zama!kind girl i like.

Anonymous said...

Sikubaliani na hao wanaosema hizo nywele ni nzuri. Naamini kuwa ukiwa na nywele zako natural utapendeza zaidi. Just try it baby.

Anonymous said...

Nakubaliana na anon 12:57 pm, nywele natural ni nzuri kuliko hizo za kunyooshwa. Zama hebu jaribu kuchana AFRO utuweke picha hap. Nina hakika utakuwa mzuri zaidi. Isitoshe, kunyoosha nywele na kuchubua ngozi ni mapacha wanaotokana na inferiority complex yetu sis wamatumbi.