Wednesday, June 15, 2011

AMBAYO YANATUTOKEA WAKATI WA KUREKODI KIPINDI... WATCH IT!!!Hii kitu ilitokea bila kutegemea wakati narekodi kipindi cha TAKE ONE juzi ambapo wakati narekodi ghafla nikamuona Cameraman wangu amesitisha zoezi la kurekodi ikabidi nimuulize ni nini, akanijibu kwamba kuna kitu amekiona tukiache kwanza kipite, lakini katika hali ya kujiamini nikajitia sio muoga nikajipa ujasiri na kuwa ngangari na kusema kwamba turekodi nacho tu lakini kilichotokea ndio hiko hapo juu WATCH IT!!!
Kuna vitu fulani katika maisha ambavyo vinatokea bila kupanga na bila kutegemea vinakuwa vizuri na vinakuwa ni vigumu kuvipata tena sehemu nyingine yoyote.. Thats what we call Magic moments sababu haziwezi kujirudia tena hata mjipange vipi..
I love that clip!!!

9 comments:

Anonymous said...

dah!zama kweli hizo magic moments,thats why i likeu.....lucy

Anonymous said...

kip on werking ma dia

Anonymous said...

Ahahahahaha... That was action...action...action...! for sure....!

Anonymous said...

hahahahhaaa!!!so funny

Anonymous said...

so funny

Anonymous said...

hahahahaha...kilichinifurahisha hapo ni hali ya kujifanya ngangari full kujiamini then ukawa mpole ghafla.it's so funny clip.sasa sijui ungelipata nafasi kama cnn au bbc unaripoti toka afghanistan then full mabomu....

Anonymous said...

kwi kwi kwiii ha ha haaa so funny yaani.... ulijitia ngangari then ghafla ukachemsha teh teh teh

Anonymous said...

ha ha haaa very funny pata picha uko libya hiyo ilikuwa bonge ya test my dia but keep it up we love ur work

Anonymous said...

yaani you made me lough my heart out....lol........