Wednesday, June 1, 2011

MOJA KATI NYA NYIMBO ZA RAY C NINAZOZIPENDA SANA MPAKA KESHO...


Huyu ni mmoja kati ya wanamuziki ambao naweza nikasikiliza nyimbo zake za zamani na mpaka leo nikapata feeling ile ile kama ambavyo nilikuwa nikiisikiliza ilivyokuwa hot (mpya).. kuna nyimbo nyingi sana kutoka kwa Ray c ambazo nazipenda mpaka kesho,
Mojawapo ni NA WEWE MILELE, lakini ukiachana na na wewe milele , wimbo mwingine ninaoupenda zaidi na zaidi kutoka kwa ray c ni huo hapo juu.. nina uhakika nitakuwa nimekukumbusha mbali sana kwa wewe ambae ni mpenzi wa Ray c...
Mapenzi yangu.. Enjoy!!!

1 comment:

Anonymous said...

Aisee mimi nipo ulaya nakwambia umenikumbuuusha mambo meeeeengi sana ya kipindi hicho nikiwa sehemu moja Burundi inayoitwa Rumonge.Asante kuniamshia kumbukumbu za mapenzii.