Wednesday, January 5, 2011

MIMI SIO SHOGA - mtoto wa mama....

Anaitwa DANIEL CLAUD maarufu kama DANNY ambae kwasasa amekuwa kama gumzo fulani kutokana na COMEDY aliyoigiza inayoitwa MTOTO WA MAMA ambapo ndani humo amecheza kama SHOGA na ameonekana kuupatia sana ushoga kiasi cha mtu kuweza kumfikiria huko.. Lakini yeye mwenyewe katika mahojiano yake na mimi amekana kabisa swala la Ushoga ila AMEKIRI kwamba yeye hupenda Kampani za watoto wa kike zaidi kuliko wa kiume na marafiki zake wengi ni WASICHANA ila yeye SI SHOGA kama inavyoonekana....
Tukiwa katika mahojiano kwa ajili ya REDIO.. usikose kusikiliza siku ya kesho saa 10:45 asubuhi kwani aliniimbia hadi TAARAB na amekiri kwamba huo ni aina ya muziki anaoupenda na ukimsikiliza Mashaallah kajaaliwa sauti lakini jamani YEYE SI SHOGA....

DANNY akiwa katika pozi....


Jamani hivi ni vitu gani vinavyoweza kumtambulisha mtu kama ni SHOGA ama si SHOGA!!!??????............. je mbali na kuigiza ambako ni sanaa kuna kitu chochote ambacho anacho ama amekifanya kinachofanya watu wamjudge hivyo wanavyomjudge.... !?
usikose kusikiliza MOVIE LEO siku ya kesho saa 10:45 asubuhi...

6 comments:

Anonymous said...

Huu muda mbona utaa 10:45 asubuhi?kwanini unatuchanganya ni saa kumi au nne?

Anonymous said...

hilo shoga bwana lisituzingue

Anonymous said...

sasa kama sio shoga atapendaje kampani za watoto wa kike, huyo mzima kweli, kwa wenye macho wameshaona.

Anonymous said...

jamani Zama huyu Danny anakaa magomeni mapipa ni shoga 100% wala si swali asitukanishe wanaume kuna mwanaume kalegea km yeye? kina joty na mpoki wanaact km wanawake kwanini tusihoji wao tumhoji yeye? Huyo ni shoga mzoefu no mjadala
na anajulikana mapipa yote. Tena kipindi cha kampeni za ccm alikuwa busy kwny kampeni mi namjua vizuri sana. Tena magomeni wako wengi Zama watoto wakiume mashoga ukipiga mbiu ya mashoga wanaweza kutoka wakajaa uwanja wa jangwani wengine wakakosa pakusimama jinsi walivyo wengi tena magomeni ni wengi kwasababu waarabu na wapemba wako wengi wanaishi magomeni na kariakoo wanatuharibia watoto kwakweli na ile bar ya macheni cjui kwanini haifungwi. Hawa watu weupe wanalaana waarabu, wapemba na wazungu ndo wanamchezo mchafu sana.

mzale said...

acheni zana zenu potofu ushoga usiingizwe na ukabila sio upemba wala uwarabu au uko AMERIKA NA UK, AFRIKA KUSINI KOTE KUNA WAPEMBA NA WAARABU acha ujinga uwoo wa kupakazia makabila ya wenzio na tabia chafu tena usirejee ii kama ww ni mtoto wa kiume timamu

Anonymous said...

hata mimi namfahamu huyu mtoto kama si shoga basi anahitaji kutupruvia vya kutosha kwani jamani nishawahi kumshuhudia kwenye sherehe ya mashauzi family kwenye pub moja alikuwa anatembea na mashoga wenzake na hata tembea yake akiamungu ukiomuona unaweza ukasema shg kabisaaaaa sijui lakin