Thursday, January 13, 2011

COUPLE OF THE DAY....

My long time friend HUSNA akiwa na husband to be wake..
asietaka na aache lakini habari ndio hiyo.. haibadiliki!!
wish u guys all the best!!!
MUNGU awatangulie

4 comments:

salma said...

dah ebwane mambo vp,nimefurahiswa sana na hii couple of the day,coz hata mm huyu husna namfahamu na pia alikuwa rafiki yng but kwasasa hata sijui yuko wapi na wala sina mawasiliano nae so nimesoma hapa kwenye blog yk nimeguswa sana,je waweza kunisaidia contact zake.km vp unaweza mpk hii email yng salmachura@yahoo.com

Anonymous said...

Ndoa ni jambo la kheri. Kwa hivyo wanawaombea kila jema. Amina.

Anonymous said...

HONGERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, DADA KILA LA KHERI

Anonymous said...

husna huyu ni yule wa leo tena na wa kwaraha zetu?