Sunday, January 23, 2011

MEET RIO PAUL THE FASHIONISTA.. EVEN MEN HAVE THEIR STYLE!!!

Style sio kwa wasichana tu, hata wavulana nao wana styles zao as you can see hapo juu, Rio the fashionista na style yake ya nywele..hiyo kitu ya Blue hapo kichwani ndio imenivutia mpaka nikaamua kutumia hii picha...sikuwahi kuiona popote, that can be ur identity brother!!!Hapa akiwa katika style nyingine ya nywele...
RIO akiwa na ALLY KIBA
Swagga is ON....


Sio nywele tu hata likija swala la mavazi utamshikia mbali...
Kitu cha Supra pale kati...
Hapa akiwa na Jokate Mwegelo
Mafashionista wamekutana.. kutoka kushoto RIO PAUL, ALLY RHEMTULLAH one of the best designers hapa Bongo, the top model FIDELINE IRANGA pamoja na mkaka hapo pembeni..
Rio paul pamoja na Jokate Mwegelo.. They look Georgeus!!!

Fashion sio kwa wasichana tu hata wavulana nao wamo na unaweza ukawa na style yako ya kuvaa kutegemea na mapenzi yako!!!

5 comments:

Anonymous said...

Zama jaman huyo pemben ya Fide sio MDADA ni Mwanaume anaitwa MATUKIO CHUMA!!

Anonymous said...

please Zama,huyo wa kulia aliyeclose na fide sio mdada ni matukio chuma mr university miaka flani please change

Zamaradi said...

naomba radhi kwa usumbufu utakaokuwa umejitokeza kwenye kosa hilo, nimeibadilisha tayari, asante sana kwa kunizindua.

Anonymous said...

mazee hawa ni maboyz ama ni masister...hope they're straight

Forreal said...

Hao wote mashoga tu hakuna la maana.
angalia wanavyopozi , wanaume gani wamelegea??????