Monday, January 24, 2011

HAPPY FAMILY...

Mmoja kati ya waigizaji wa kike wanaofanya vizuri sana hapa BONGO, The SEXIEST movie star IRENE UWOYA akiwa na husband wake HAMAD NDIKUMANA with their CUTE son..

I just love this pic coz it shows how happy the family is..!!

7 comments:

Anonymous said...

Ki-ukweli Zama wamependeza sana tena sana kwa kweli inaonekana ni familia yenye furaha sana, hongera zao

Anonymous said...

wow! wamependeza mno

Anonymous said...

he huyo Irene amemzaa lini huyo mtoto? au wa mumewe? lkn wamependeza

Anonymous said...

Just Curiousity, is the son belongs to Irene Uwoya or her husband was ready have that kid with another woman before?

Anonymous said...

wamependeza mno ila mbona uwoya km fake smile hajasmile kanuna km kalazimishwa? mama wa kambo bwana tuna mambo

Anonymous said...

katoto kidogo kamfananie irene uwoya

Anonymous said...

waooh!they ril luk gud ilyk them alot.may God bless uwoya to have a kid of her own.