Monday, January 17, 2011

UNAFAHAMU KWAMBA SISTA FAY NI MTOTO WA MZEE MAGALI...!!!???

Aliwahi kuwa katika anga la muziki wa kizazi kipya ingawa sina hakika sana kama anaendelea .. lakini ambacho nilikuwa sikifahamu ni kwamba sista fay ndio BINTI WA KWANZA kabisa wa mzee magali ambae alimpata kwenye purukushani za ujana kabla ya ndoa...

Kwa upande wangu sikuwahi kabisa kulifahamu hili... Vp wewe ulikuwa unalifahamu hilo..?????

picha kwa hisani ya mtandao wa global publishers

No comments: