Friday, January 28, 2011

USIKU HUU KIKAZI ZAIDI...

kazi zetu hizi hazina usiku wala mchana, hapa nikiwa nasubiria kushoot take one kwenye moja ya Location ya movie ambapo wasanii walikuwa wakishoot filamu yao... hapo nikiwa na mwasiti ambae alinipa escort
Hoi tumejichokea... kilichofata nilimuacha mwasiti akalale mimi nikaendelea kupiga mzigo
kazi ni kazi


4 comments:

Anonymous said...

Zama pole sana kwa kazi, kwa kweli unajituma sana mdada hongera sana dear.

Linus said...

Zamaradi umependeza mdada jamani. Kumbe ukisuka unapendeza hivyoooo!!!!! Duh! uwe basi unasuka ma dear!

BIG UP! You look gud

Cheers

FarydaChimamy said...

Goooooo Garlz! Mkiwa mmechoka mnaonekana so Sexy!

Anonymous said...

jamanii wanawake kujituma....ila bidada umependeza kwa huo msuko ....like it....plz uwe unasuka na uweke hayo maweeving/wigi kando maana yanakufanya uonekana mbibi