Thursday, January 6, 2011

KWA KUIANGALIA TU HII PICHA UNAHISI INAONGEA NINI!!!!!???????

Kwa kuiangalia tu hii picha ya GENEVIEVE ambae ameshikilia tuzo na watu walio around yeye.... unahisi inaongea nini???
Tazama huyo dada wa TATU kutoka kwa Genevieve kwenda kushoto........

1 comment:

batuli or lissa said...

siajapata jibu zama hebu nifumbue macho huyo mdada kafanya nn?