Wednesday, February 9, 2011

UNGEPENDA KUJUA NINI KUHUSU MIMI!!!!????


Baada ya kutoa habari kuhusiana na Arnold Kayanda, nikauliza swali ungependa kujua kuhusu nani mwingine, nimepata maoni mengi na watu tofautitofauti wametajwa nikiwemo na mimi pia, lakini kabla sijaanza kufanyia kazi maoni yenu si vibaya kwa wale waliopeda kujua kuhusu mimi, wanitumie maswali yao kwamba ni kitu gani wangependa kujua kuhusu mimi na nitajitahidi kujibu kila swali kadri ya uwezo wangu,.

UNGEPENDA KUJUA KITU GANI KUHUSU MIMI!!!????

19 comments:

Anonymous said...

Mambo, vipi una mchumba au boyfriend? Kama unaye anaitwa nani?

Anonymous said...

historia ya Maisha yako(ulizalika wapi, ulisoma wapi,kazi na mtizamo wako wa baadae my be after 5 years)

Anonymous said...

ningependa kujua histori yako kwa ujumla umezaliwa lini umesoma wp unafanya nn kwa sasa ndoto zako ni nn kitu gani kimekuumiza ktk life yako nn kimekufarahisha sana ktk life yako,mahusiano yako kimapenzi yakoje kwa sasa?

Anonymous said...

Je una "mwenza"? Nikitaka kukuoa nipeleke posa wapi? Ahmad.

Anonymous said...

Ni mtangazaji gani wa TV kwa hapa TZ unaweza kusema unamkubali sana.... na kwa nini???

Anonymous said...

una mchumba au BF???? Unaishi kwako au kwa wazazi??????Huo wembamba ni wako au Diet??? unakunywa pombe??? aina gani??? Kwenu mpo wangapi na wewe wangapi??? Unaelimu kiasi gani????? Kabila gani???Chakula ukipendacho ni kipi???

Anonymous said...

una mchumba au BF???? Unaishi kwako au kwa wazazi??????Huo wembamba ni wako au Diet??? unakunywa pombe??? aina gani??? Kwenu mpo wangapi na wewe wangapi??? Unaelimu kiasi gani????? Kabila gani???Chakula ukipendacho ni kipi???

Anonymous said...

Nasikia ulisoma kunduchi girls je ulimalizia pale au ulihama?

Anonymous said...

Nackia ulisoma kunduchi girls je ulimaliza pale au ulihama???

Catherine said...

Dada Zama, mi naomba kufahamu kuhusu figure yako, ni ya asili au diet? na kama ni diet tuelekeze, you look good Dada.

Anonymous said...

ok! wengi pia wameuliza but nami pia naomba jua!
1.asili yako wapi yani kabila
2.nn natarajio yako in da life
3.kama mwanamke unategemea siku 1 kuolewa? na kuwa na watoto wangapi?
4.Ni vitu gani huwa unapendelea na vi2 gani hupendi
5.wwe ni wangapi kuzaliwa kwenu kati ya wangapi?
6. ni kwa nni uliingia ktk siasa ili hali ukiwa mdogo hivyo
Dat all By Augustine magessa

Anonymous said...

ur eduction background.

SALHA MWANDU said...

I KNOW THAT ULIKUA NI M2 WA WA2 SANA ULIPOKUA SHULENI PALE KUNDUCHI GIRLS MANA NDIO TULIKUA PAMOJA, JE BADO NI HVYO HVYO AMA? NATAKA KUJUA ULIPOKUA SKULI NYINGINE ULIKUA NI ZAMA YULEYULE WA KUNDUCHI AMA? UPANDE WA UCHESHI WAKO NA COMEDY ZAKO

RUKIA HARUNA MEZA said...

FANI HIYO YA UTANGAZAJI NDIO IMEKUFAA SANA,MANA SHULE PALE KUNDUCHI ULIELEKEA KUA HVYO SI UNAJIJUA MWENYEWE ULIKUA MTU WA WA2, SWALI LANGU NI HIVI MTANGAZAJI GANI AMBAE UNA MUADMIRE? NA NINGEPENDA KUJUA KAMA UNAPENDA KUIGIZA MANA NNAHAMU NIKUONE PIA KATIKA KUIGIZA UFANYE JAPO FILAMU MOJA

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

nilisikia huko nyuma ulishawahi kuchumbiwa je ni kweli na nani?

Anonymous said...

ZAMA MIMI NINAOMBI MOJA KWAKO, NAOMBA UTUWEKEE KIPINDI CHAKO CHA "TAKE ONE" KWENYE YOUTUBE, SISI TULIO MBALI NA BONGO TUWEZE KU-ENJOY, MAANA NILIKUWA NAANGALIA SANA WAKATI NIKO BONGO...... KWA SASA NIMEKIMISS SANA KIPINDI CHAKO. NAKIPENDA SANA SANA.

ANGALIA JINSI UTAKAVYOWEZA KUTUSAIDIA, MAANA NAONA MWENZIO DINA ANATUREKODIA 'LEO TENA' NA ANATUWEKEA KWENYE BLOG YAKE, HUKU MAJUU TUNASIKILIZA KWA RAHA ZETU.....

TAKE TIME TO THINK, KAMA UTAHITAJI MSAADA WA KITALAAM,NIKO TAYARI KUKUSAIDIA.

Anonymous said...

hi Zama, mi ningependa kujua kwanini uliacha chuo baada ya kusoma mwaka mmoja tu pale SAUT na kuwa miss Mwanza ukaamua kuondoka kabisa, Je? una mpango wa kumalizia elimu yako ya juu coz umesoma mass communication first year peke yake huna cheti, maamuzi yako ni yapi hapo? classmate SAUT

princess martha said...

i like and admire you alot nataka 2 nkuulize how did u do it to get were yiu are ryt naw