Wednesday, February 23, 2011

KWA KUMUANGALIA TU HUYU MTU, UNAHISI AMEFANANA NA NANI HAPA BONGO..!!!????

Angalia hizo picha KWA UMAKINI SANA, PAMBANUA halafu uniambie kwa kumuangalia tu huyo mtu.. Unahisi amefanana na nani hapa BONGO!!!??????

14 comments:

Anonymous said...

Kama sijakosea huyo kafanana sana na Kanumba dadangu.
Simson

Anonymous said...

huyo mrembo kama wewe amefanana sasa na zamaradi au shemeji?

Anonymous said...

huyo mrembo kama wewe amefanana sasa na zamaradi au shemeji?

Anonymous said...

kanumba uyo zama

Anonymous said...

Yaani Kanumba "copy right". Ni kaka ake nini??

Michael levis said...

Huyo Zama ni copy ya Kanumba sema c o kivilee saaana coz kanumba makeup nyingi...!!

Michael levis said...

Huyo Zama copy ya Kanumba sema2 c o kivilee saaana coz kanumba makeup nyingi...!!!!

Michael levis said...

Huyo zama copy ya kanumba sema c o kivilee saaana coz Kanumba makeup nying....

Anonymous said...

huyu bwana kibondeeee kwisha kazi ndugu yangu

Anonymous said...

Kafanana sana na kanumba Zama......... bila ubishi; kavp watoe filamu fasta na hongera kwa kumvumbua huyo kijana!

Anonymous said...

kanumba ofcourse

Anonymous said...

Duh...umetisha zama, mchz anafanana na Kanumbaaaa

Anonymous said...

kanumba????

Anonymous said...

kanumba copy n paste.