Siku kama ya leo mwaka 1985 alizaliwa mtoto ambae hakutegemewa kwamba angekuwa mwanamuziki mkubwa hivi hapa Tanzania, Anafahamika kwa jina la Mwasiti Almasi binti wa kimanyema huyu kutoka KIGOMA (wakwetu) ambae anafanya vizuri sana kwenye soko la muziki wa hapa Tanzania...
Mbali na yeye kuzaliwa tarehe ya leo, leo ni birthday ya baba yake mzazi pia so wote nawatakia heri katika siku yao ya kuzaliwa...
Kaza buti kwenye kazi zako na endelea kukamua kama vile underground anatafuta njia ya kutoka, usilewe sifa...
Nakutakia kila la KHERI kwenye maisha yako na katika kila unalolifanya!!!
HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
1 comment:
hongera sana mwasiti kwa kweli nampenda sana huyu binti nakumbuka wakati anasoma makongo kalikuwa kadogo kenyewe keep it up mama
Post a Comment