Saturday, February 19, 2011

NDANI YA MJI WA MIAMBA LEO....

siku ya leo tulitembelea sehemu inaitwa luchelele kwenye beach moja minayoitwa FAULU.. we had a lot of fun na tuliexperience vitu vingi vipya pia
Mwenyeji wetu akitukaribisha na kutupa muhtasari kuhusiana na eneo hilo
Bonge wa powerbreakfast, Dina Marios pamoja na Geah Habib..
Hii ilikuwa ni mapema kabla ya safari ambapo tulitembelewa na mpenzi mkubwa wa LEO TENA kwenye hoteli tuliyofikia anaitwa MAMA KANGA wa kwanza kushoto akiwa na wanae wawili, hapo kulia ni Geah Habib mwenye nyekundu na mimi huko nyuma ya mama Kanga.
Zamaradi


P.G. Kweka a.k.a BAGHDAD akiwa sehemu ya juu (FAULU) huku akiliangalia ziwa victoria kwa chati.. This place is so beautiful kiukweli!!!

Muda muafaka.. Hii ilikuwa Faulu Beach resort

Nikiwa juu ya mawe...

Hapo niko na REGINALD MARO kushoto na P.G. Kweka niliekaa nae kwenye kiti pamoja na wenyeji wetu kutoka HEMAJE productions.

Kama kawa mpenda picha hawezi kutoka bila hata kujifotoa moja...

No comments: