Thursday, February 17, 2011

EEH!! MUNGU TUSAIDIE..

Hali ilivyokuwa leo maeneo ya GONGO LA MBOTO katika mji wa DAR ES SALAAM palipotokea mlipuko wa mabomu.. na hii ilikuwa ni majira ya saa tatu usiku lakini hali ilikuwa kama unavyoiona..

Kwa nchi kama ya Tanzania ambayo tumezoea AMANI likitokea jambo kama hili mambo yote huharibika na taswira inakuwa nyingine kabisa kuhusiana na nchi yetu..

EEH MUNGU TUSAIDIE!!!!

No comments: