Tuesday, February 22, 2011

UNAFIKIRI NANI ATACHUKUA NINI KWENYE KILI MUSIC AWARDS MWAKA HUU....
Hayo ndio majina ya wanaowania tuzo kwa mwaka huu katika KILI MUSIC AWARDS.. unafkiri nani atachukua nini..
Na kwa maono yako unafikiri NANI ATANG'ARA KWENYE TUZO ZA MWAKA HUU!!!?????

7 comments:

Anonymous said...

nadhani 20% atafaa zaidi,nyimbo zake ni nzuri zina mafundisho na zina eleweka

Deo Mutta said...

Kwenye TASNIA ya Muziki hakuna kama TWANGA PEPETA

Anonymous said...

Jamani mie namzimia 20 percent niko mbali na tanzania lakini nyimbo zake ni kali jamani wampatie japo ashinde japo kitu kimoja, na hata usiposhinda kaka yangu usikate tamaa watanzania tunakukubali kazi yako

Anonymous said...

20% ANAFAA KUCHUKUA TUZO KWENYE CATEGORIES ZOTE ALIZOWEKWA ALBUM YAKE HAICHOSHI KILA MWIMBO UNA UJUMBE NA LADHA NZURI

Anonymous said...

Wimbo bora : Bora nikimbie wa Linah

Msanii mpya : Top C

Wimbo bora wa Mwaka:sina raha wa Sam wa Ukweli

Mtunzi Bora wa Kike: Lady Jay Dee

Anonymous said...

Taarabu: Leila Rashid (Langu Rohoni).

Anonymous said...

20%