Thursday, February 3, 2011

NITUMIE PICHA YAKO....

Kwa wale FANS wa ukweli wa BLOG hii na yeyote yule kama ungependa picha yako itokee ndani ya BLOG hii ukitoa salamu ama ujumbe wowote kwa wale watu wako muhimu basi naomba nitumie picha yako jina lako na details kidogo kuhusu wewe pamoja na ujumbe unaotaka kuutoa kisha nitaiweka bila hiyana
Address ya kutuma ni zamaradi.takeone@gmail.com
Fanya hivyo sasa!!!

No comments: