Wednesday, February 23, 2011

UJUMBE WA WAZI KUTOKA KWA CHARLES NGINDO...

Hi dadangu Zamaradi
Ujumbe ni kwa Hemedy, mimi kama mimi namuomba Hemedy ajaribu kuwa
mstaarabu, coz everyday swagga zake yeye ni kumponda tu Mtu Mzima
Yusuph Mlela (HB) mara oh hana Swagga, mara oh havutii,yaani jamaa
anaponda mbaya kitaa, kwenye media, mara oh yeye (Hemedy) ndio
baaabkubwa, sasa dadangu nisaidie hili coz mi nashindwa kuelewa mbona
Mlela ndio babkubwa lakini haongei sasa huyo jamaa (Hemdey) anachonga
chonga nini mbona hatumuelewi.. coz kuna kipindi fulani tulimtafuta
sexiety Bachelor hapa Tz na Mlela akaibuka Kidedea mbona huyo mwana
ubongo wa flava hakuibuka bingwa.
Mimi Binafsi namuomba Hemedy afanye maisha yake yeye kama yeye coz
bifu haijengi inabomoa na mara zote kizuri chajiuza.............
Sisi Watanzania tunachojua sisi ni kimoja tu
MLELA NI ZAIDI YA HUYO MWANA BONGO FLAVA
Huyo anaitwa Charles Ngindo ambae ametoa maoni yake na mimi nimeyaweka kama yalivyo, na hata wewe unaesoma hapa unaweza ukanitumia MAONI YAKO, UJUMBE WAKO ama CHOCHOTE KILE kuhusiana na kitu chochote iwe kero, pongezi, salamu ama chochote pamoja na picha yako na mimi nitaweka ujumbe wako kama ulivyo.. address ya kutumia ni zamaradi.takeone@gmail.com
asanteni sana.. tuko pamoja!!!

7 comments:

Anonymous said...

Kama Kanumba...kwa mbaaaali!

Anonymous said...

huyu nae katumwa? dont do these things Zama I know Hemed and Mlela knows exactly what they are up to may be its the way of promoting each other sasa hawa wengine wapotezee, huko mbele bifu hutengenezwa kutafuta attention, halafu Hemed anamsiba jamani si juzi tu kafiwa na ww zama nae????

Anonymous said...

toa maji taka!!!!

Anonymous said...

mmhmmmmmmmmmmm kwamtindo huu 2tafika???me yangu majichoooooo.

Anonymous said...

kanumba

Anonymous said...

ni kweli Kawnini kila siku amponde mwenzake hata kama kutafuta umaarufu, basi watumie njia ya adabu na sio kutukana mbele ya media, tumewachoka vijana wa bongoflava na maneno yao machafu, sometime tunakuwa na baba zetu, mara mi mzuri kupita demu kha...

Anonymous said...

he mwanaume anajisfia mzuri eh makubwa mleten mageton... ustaa state uko ye anazan ustaa bongo...