Thursday, February 3, 2011

BAADA YA KUFANYIWA SUPRISE PARTY YA BIRTHDAY

Hii ilikuwa jana ambapo mwasiti alivutwa mpaka studio kwa tudy akijua anaenda kurekodi matangazo kufika pale ndio anakuta friends wamekusanyika kwa ajili yake with a BIRTHDAY CAKE na hiyo ilikuwa ni kitu kizuri sana kwake mpaka akajikuta anatoa machozi kwani hakutegemea SUPRISE YA AINA HIYO

Apart from friends alishangaa kumkuta mdogo wake na mtoto wa dada yake sehemu ya tukio.. nafikiri itakuwa ni kumbukumbu nzuri sana kwake...

Live u long mammie!!!!

2 comments:

ney said...

mmmmmmmh..... haya bidada happy bday endelea kutunza heshima yako

Anonymous said...

Sasa hii ndio habari ya ukweli katika blog hii. na sii kutuletea mijitako ya watu ati unawasifia shape zao. Hongera sana Mwasiti kwa kujaaliwa kutimiza umri huo na pia kwa kutunza sana heshima yako. Ni mfano mzuri wa kuigwa