
Ukuniuliza nini napenda, nitakujibu picha.. naomba nikiri hilo!!! Hivi vipicha vilikuwepo tu nikaona si vibaya nikavitundika humu ukizingatia sina matumizi navyo yoyote!!!


Zamaradi mpenda picha

Ukiangalia unaweza ukaona kama zinafananafanana hivi lakini nilichoona niziweke tu zote...

Wanasema kununanuna hovyo sio kuzuri kwa afya.. sura inazeeka, so always smile, matatizo yapo kila siku usiyaendekeze!!!


mpenda picha...

Hii ilikuwa kama miezi minne hivi iliyopita...

IJUMAA NJEMA JAMANI.. NAWAPENDA WOOOOTE, MNAONIPENDA NA KUNICHUKIA.. TUKO PAMOJA!!!!
5 comments:
kwa kweli utakuwa unapenda picha na pia ww ni photogenic na ucngekuwa photogenic cdhan kwamba ungezipenda kiasi hicho and ur gorgeous too, i adores you alot..
hebu badilisha hicho kisuruali. you are cute.
Unalipa dada!!!! Mungu akulinde katika kutimiza ndoto zako za maisha...
Tunakupenda. Usijali baby Z.
U cute gal!!!! Mola akulinde na akupe imani zaidi na kila la heri. Amin.
Post a Comment