Monday, February 7, 2011

UNATAKA KUWA MOVIE STAR!!!?????

Kama una ndoto za kuwa muigizaji na star mkubwa wa filamu THIS IS YOUR TIME, kupitia kampuni yake ROSE NDAUKA anatafuta vipaji vipya kabisa kwenye filamu yake ambayo itashutiwa muda si mrefu kuanzia sasa..
Kama wewe ni kijana ama ni msichana, una kipaji na mvuto wa kisanii usikose kuchukua FOMU ambazo zinapatikana maeneo ya mwananyamala komakoma kwenye SALON moja inayoitwa KWA BONITA, pamoja na njiapanda kigogo FLORA SALON ama unaweza ukaipata kupitia ROSE moja kwa moja.. kwa mawasiliano nae tumia namba hii hapa 0659 774411

6 comments:

Sophia's Lover said...

Taj Mahal

The Taj, mayhap, to you may seem, a mark of love supreme
You may hold this beauteous vale in great esteem;
Yet, my love, meet me hence at some other place!
How odd for the poor folk to frequent royal resorts;

...thanks....my... (Black Rose Thin Lissy youtube)

Hawa said...

Rose ni ktk wasanii wanaonivutia sanaa hapa Bongo!! Anajitahid sana kwenye kazi. Ila mavazi hasa ya kuonesha maziwa jamani pliz punguzen kwa wote wadada wenzangu hasa wale mastaa!!

Anonymous said...

Mh hiyo si gauni ni ktopu!
Rose tunakupenda sana, kuwa dada mwenye maadili mema

Anonymous said...

Hivi kweli Zamaradi, wametoa Tangazo hilo la kazi halafu wanauza fomu hizo kwa shillingi Elfu Tano kweli ni halali au tunachakachuliwa.Nimesikia huo ni utapeli kwahiyo ZAMA UNAUSHADADIA tu.Hebu tueleze kiundani, kwanini wasitoe form hizo bure,nasikia hizo ndio tabia za wasanii wa filamu kujitengenezea pesa au gharama za kutengenezea hizo filamu . NAOMBA MSAADA TUTANI KWA HILO MIMI NI MKEREKETWA KATIKA BLOG YAKO NA KIPING CHA TAKE ONE.

ASanteeeeeeee asanteeeeeeeeee asanteeeeeeeeeeeeeee sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

kaaaaaazi kweli what do u get in return by paying that 5,000 in tz ni ahisi sana watu kujitengenezea pesa haya

Anonymous said...

Yaani Rose mimi nguo zako ndo zinanitia kichefuchefu.....
ILA VINGINEVYO, YOU ARE SO CUTE GIRL.