Tuesday, February 1, 2011

BREAKING NEWS: JAFFARAI ATANGAZA KUACHANA NA SHY-ROSE BHANJI

JAFFARI ALLY MSHAMU maarufu kama JAFFARAI ametangaza kuachana na mpenzi wake ambae ni Meneja Uhusiano wa benki ya NMB Shy-Rose Bhanji

Jaffarai ametangaza habari hiyo kupitia mtandao wa facebook na alichosema ni hiko chini...

"NIMEAMUA KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA 8 SHYROSE BHANJI.. "

Sina cha kuongeza wala kupunguza ila hayo ni maneno ya jaffarai.. kama kuna lolote litakaloendelea basi tutalifahamu..

Hizi ni baadhi ya picha zinazoonesha those days kabla ya mapenzi yao kwenda tofauti.. kiukweli ni jambo la kusikitisha kidogo ukizingatia ni watu ambao tumezoea kuwaona pamoja muda mwingi.
Those happy moments..

20 comments:

Anonymous said...

sisi inatuhusu nini sasa alipoanza nae kwani alitangaza kwa mtu kuwa yuko na shy? ujinga mtupu mtoto huyo akikuwa ataacha, kwanza yeye hakujiona kama anatoka na mtu mzima kuliko yeye? @%$#$%^^&* bichwa lake

Anonymous said...

hivi jamani huyu mama si mtu mzima tu jamani inakuwaje kuwa na kijana mdogo hivi au ndio mambo ya kidhungu vile

Anonymous said...

mwnyewe anajiona PDD....? Kumbe mchimba chumvi tu.... hata hivyo Shy alikua haendani naye huyo mtoto wa mama.... kwa jinsi tunavyomjua Shy ni dada mchakarikaji anayehitaji mwanaume wa ukweli.... aliyekamilika sekta zote..... sio huyo mwanaume madeko...

Anonymous said...

Upuuzi mtupu

Anonymous said...

upumbavu mtu na huyo mama na anajishushia tu, hivi haoni hata aibu kua na mvlana wa kumzaa, sasa wanatuarifu nini sasa, waachane wasiaachane haituhusuuuuuuuuuuuuuuu hovyooooooooooooooooooooo.

Anonymous said...

i nahuuuuuuuuuuuu nwajinga watupu hao, we mtoto mdogo kupemba mi mama ss hapo umeachana nae au kakuaacha. houni hata aibu sura mbaya xxxxxxxxyyyyyyymmmmmmmmmm

Anonymous said...

Huyu Jafarai alikuwa ni 'gold digger' tu na kupe aliyekuwa anamtumia tu Sister Shy-Rose. Naamini kuwa kwa uzuri, uchangamfu na uchapa kazi wake Shy Rose atapata 'a real man', siyo huyo kimburu Jafarai.

Anonymous said...

mapenzi hayachagui umri lakini kuachana kwenu si haituhusu,

Anonymous said...

amekaa ground floor afu anavunja nguzo.....
Ss asubiri ghorofa limwangukie....

Anonymous said...

wote wawili mu wajinga, mmama mtu mzima tena mwenye heshima zako kumpenda kijana mdogo, na wewe Jaffarai huoni aibu hata kusema vitu kama hivo mtandaoni, maisha yako na huyo shy hayatuhusu kwanza ulikua naye akulee tu hakuna chochote mwanaume mzima unalelewa na jimama. kweli huu mtoto ukikua utaacha, kutongozana usituambie, kuachana utuambie inatuhusu nini kaa chini jifikirie kwanza kabla ya kutenda.

Anonymous said...

Nawashangaa watu mnaosema eti si sahihi mvulana kuwa na mwanamke aliyemzidi umri! Mbona hapa Tanzania na Afrika nzima ni kitu cha kawaida kuwaona vijizee wanaume wa miaka 50 mpaka 70 wakiwa na ma-girlfriend na wake wa ndoa wenye umri wa miaka 15 mpaka 20???? Pia tunajua kuwa nguvu za kiume zinaanza kupungua wakati mwanamume anapofikisha miaka 40 na hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa wanawake unaongezeka baada ya mwanamke kupita miaka 40??? Tuachane na mawazo ya kijinga yaliyopitwa na wakati. Tuko karne ya 21!!!!!!! Mapenzi hayana umri. Sema tu huyu Jafarai hajatulia na sidhani ana mapenzi ya kweli. Nakubaliana na mdau hapo juu anayesema kuwa huenda Jafarai alikuwa katika uhusiano kumtumia sista wetu. Kabla ya Jafarai kuwa na Shy-Rose nilikuwa, kama watu wengi sana, sijawahi kumsikia Jafaria. Namwombea Shy-Rose apate mtu anayemfaa kwani sista huyo ana uzuri, mafanikio, upendo na uchapakazi. Angela M.

Anonymous said...

Ni kweli kuwa hamna ubaya wowote wa mwanamume kuwa na mwanamke aliyempita umri. Muhimu ni mapenzi na maelewano. Nakubaliana na mdau aliyesema kuwa watu wanaofikiri kuwa eti si vizuri kwa mwanamume kuwa na mwanamke aliyemzidi umri ni watumwa wa mila za kijinga zilizopitwa na wakati. Tatizo ni kuwa Jafarai anaelekea kuwa si mtu mwenye akili ya zaidi ya wastani. (he ain't that smart, I know him). Ushahidi wa hilo tazama tu jinsi alivyopozi katika hiyo picha ya juu. Na hivyo ndivyo alivyo kila siku. Good luck Shy-Rose!

Anonymous said...

Tatizo si umri. Tatizo ni kuwa mwanamume ambaye hana kipaji na ambaye hajiamini hawezi kudumu na mwanamke aliyefanikiwa katika maisha. Nadhani wote tunaowajua Jafarai na Shyrose tuliona mara nyingi jinsi huyo Jafarai alivyokuwa akipwaya katika mazungumzo. Maana Shyrose anaweza kuzungumzia mada yoyote ile (fashion, uchumi, siasa, dini, siasa, jamii, n.k.) katika hadhara wakati kaka yetu alikuwa katika hadhara hizo anaonekana kuwa 'lost'. Naamini hayo yalimfanya Jafarai kuwa na ka-'inferiority complex' kuwa na dada aliyemzidi kifedha, kiakili na kikazi. Na wanaume wengi sana wenye 'inferiority complex' hawadumu na wanawake waliowazidi kimaisha.

Anonymous said...

Angela M umesema ukweli. Hao wanaosema ati ni kosa kwa mke kumzidi umri mume bado wanaishi karne ya 19. Hao ndio wale wanaosema "ohh, wanawake mwiko kula mayai, kuku au kunywa maziwa" kwa kisingizio cha mila. Amini usiamini bado kuna wajinga wengi tu kama hao Tanzania ambao wanawawekea wanawake miiko ya kula vitu vizuri. Lakini cha ajabu hao ndio wanaume ambao wakiwa "vijibabu" wanaoa wasichana wa miaka 20 japo nguvu zao za kiume ziko kwenye "low point" (kama ni kwenye indicator ya simu yenye kuonyesha "charge" basi indicator yao ingelikuwa iko kwenye "low battery" [lol!!!]). Matokeo yake ni kuwa wake zao vijana wanakwenda kufanyiwa "service" nje na wavulana wadogo.

Anonymous said...

Wadau, mbona kuna habari zilizoenea mjini kuwa Mr Sugu ndiye aliyesababisha uhusiano wa Jafari na Shyrose uvunjike? Tusimlaumu Jafarai peke yake. Zamarad tunaomba data za ukweli kuhusu hilo.

Anonymous said...

Mimi ndiye niliyetuma posting ya 11:59 AM kumlaumu Jafarai. Nimefanya kosa. Baada ya posting hiyo kutoka nimesikia kuwa kuna 'mkono' wa mr sugu katika uhusiano huo kuvunjika. Samahani jafarai.

epimark said...

oya mshikaji ki disgn ana2zingua wa2 2nawaza ya maana mambo ya dowansi umeme hamna wa mgao yy ana2zingua anajitangaza kwenye media anajiona kidume kumbe mtoto wa mama, anaitwa akale paja. praaaa praaa raaaaaahaaa>..

Anonymous said...

wote mnaosema mwanaume kuchukua mwanamke aliyemzidi umri ndio kisasa mpo wrong na inaonyesha ndio walewale wauza sura..chunguzeni kuanzia huko ulaya mlikoiga mpaka hapa wavulana wadogo walio kwenye mahusiano na majimama kama wana mapenzi ya kweli,wengi huwa wanafuata fedha tu,unafikiri jafarai angetongozwa na jimama muuza samaki angekubali?
mwanaume ameumbwa kutawala hiyo ni nature yao sasa anapokuwa na mwenye kumzidi umri atashindwa kumtawala ndio maana hawezi kumpenda wala kuwa na aliyemzidi.
mwanaume mkubwa kuoa mdogo ni kawaida sana coz bado anaendelea kujenga ngome yake ya utawala.
na huyo shyrose kama hatabadilika hata huo ubunge atausikia kwenye bomba miaka yote coz kuwa na watoto kunamfanya aonekane mhuni tu.
tafuta wazee wenzio uanzishe familia umri umeenda saa hz upo dakika za majeruhi,wataendelea kukudharirisha hao watoto,mzee mwenzio hata mngeachana tusingejua

Anonymous said...

mbona wabongo mnachonga sana,walijificha mkachonga, wakaweka wazi mkaropoka,wameachana mna onyesha fitina...jafarai handsome sura mbaya yenu jamanieee. hilo jimama liende tena usigeuke J FNYA MAMBO YAKO WANAODAI UTAFULIA AU HAUNA ELIMU WAJUE LIFE HAINA FURMULA ndo mana hata wasio na elimu manamiliki majumba na magari ya thaman na wako wenye elimu hata daladala hawawez kujilipia. kip it up J kipaj ulichonacho ni zaid ya elimu na pesa za huyu jimama lisilojiheshimu....ts kyra

Anonymous said...

shy jafaray wote manunda, we limama lizima likawe na uhusiano na mtoto mdogo eti kisa mapenzi hayana umri acheni hizo jamani msijifanye wazungu, nadhani mnaoongea hayo sio wazazi, ebu can imagine we ni mzazi unamtoto wako wa mika 19 unasikia ana uhusiano wa msichana ana mika 30 utajisikia vizuri? huyo shy ebu awe nafikiria vizuri kuhusu mapenzi kama alivyo na akili katika kusaka mshiko asituharibie vijana wetu wadogo kisa kupenda kwake damu changa wazee wenzie wamejaa kibao kutaka kumzeesha bure mtoto wa mwanamke mwenzie. ovyooo lijafary nalo linalia lia kujifanya lilikuwa linampenda kumbe limeshalemaa alijui pa kuanzia kutafuta pesa coz lilishabweteka, ihate wanaume wenye tabia kama hiyo ya kupenda kululewa na kina mama namuunga mkono yule mdau aliyechangia kuwa angetongozwa na muuza samaki angekubali?.acheni kuzuga kujifanya wazungu kumbe hii bongo wanaume tafuteni vyenu.