Thursday, February 17, 2011

HAPA NA PALE...

katika pitapita nilikutana na baadhi ya waigizaji wa filamu wa hapa TANZANIA, kutoka kushoto anaitwa BARAFU, Director ADAM KUAMBIANA, TINO, ZAMARADI na JACOB STEVEN (JB).
Nikiwa na mabrothers hapo kutoka kushoto ADAM KUAMBIANA, mimi ZAMARADI, TINO pamoja na JB.
Hapa na Pale
Hii ilikuwa ni LAMADA ambapo nilienda kwa ajili ya kurekodi baadhi ya wasanii wa filamu nikakutana na wengine kama unavyowaona...

Hapo nikiwa na CREW YANGU YA TAKE ONE pamoja na tino, kutoka kushoto SHAGILE pamoja na RAYMOND CHARLES (RAY sharobaro) ambae ni cameraman wangu.

No comments: