
Watoto wetu wa kibongo nahisi hata kuisogelea hii itakuwa shughuli nyingine, utaskia "MAMA.. DUDU"

hii ni meza ambayo mishikilio yake (mhimili) wameweka mfano wa miguu ya wadada

hii sijui ndio nini.. natamani nione view ya nyuma inakuaje, acha ningoje ageuke

Miguu ya ndege hiyo.. sijui kuku sijui kunguru

Kitu cha Engine, huo mzigo ukikaa sebuleni unaweza ukaona kama makorokoro kwakweli

Dudu nyingine hiyo...

matairi ya baiskeli nayo wameya-aplly humo

nyingine hiyo
Hii sijui ni miguu ya mbuzi au ng'ombe sielewi...
Hizo ni baadhi ya meza ambazo zimetengenezwa kwa kutumia vitu tofautitofauti as u can see hapo juu..
Ubunifu unapozidi!!!!!!
UMEIPENDA IPI KATIKA HIZO!!!???
1 comment:
NIMEIPENDA HIYO YA MATAIR YA BAISKEL,KWAKWELI KUNA WA2 WABUNIFU DUNIA HII,ZIKO WAP?TZ HAPAHAPA AU????????????????/RUTH
Post a Comment