Saturday, February 19, 2011

SALAMU KUTOKA KWA MDAU FATMA MLANZI...

Congrats madame, unafanya kazi nzuri sana,,vitu vingi nsivovijua napata toka blog yako...all the Best Dear
Anaitwa FATMA MLANZI kupitia zamaradi.takeone@gmail.com ameweza kunitumia ujumbe wake hapo juu pamoja na picha zake.. na hata wewe kama una ujumbe wowote si kwangu tu bali kwa mtu yoyote yule unaweza ukanitumia kupitia address hiyo hapo niliyoitaja pamoja na picha zako na mimi ntaufikisha kama ulivyo...
Asante sana FATMA tuko pamoja sana!!

2 comments:

Anonymous said...

naomba kujua blog yake inaitwaje

Anonymous said...

Ameolewa???